Marcy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,430
- 5,910
Nimefanya nnKama wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefanya nnKama wewe
Nenda basi kwenye jukwaa la wazeejamani ujue mie ni babu sasa hiyo lugha ya chura kwangu sio sawa
Mpwayungu Villagehapana,mie ni mwalimu mwenye nidhamu kubwa sana,pia ni babu mwenye adabu
Bikra anayo?Niliwahi kufundisha chuo kikuu kimoja hapa Tanzania. Nilikuwa na mwanafunzi mmoja—mpole, mkimya, hana makuu, hanywi pombe, haendi out, ni mtulivu sijapata kuona.
Ni Mkristo, lakini huvaa ushungi kila siku, na darasani alikuwa wastani tu. Alimaliza na alipata kazi mji huohuo aliposomea. Baada ya miaka miwili, nilienda kumtembelea alipopanga. Nilimkuta na sifa zake zilezile.
Niliongea naye sana, na akaniambia kuwa mpaka sasa hajapata mchumba japo anatafuta sana mwenza na anasali kila siku. Nilishangaa, mdada mzuri kama huyo kukosa mume. Kweli, hata mimi roho inaniuma sana.
Hili siwezi kujuaBikra anayo?
liko wapi?Nenda basi kwenye jukwaa la wazee
hapana huyo ni sawa na mwanangu na ananiita babaNa tena ukaenda kumtembelea Kwa fimbo ya ukwaju.
Ukaharibu. Kweli ww mjingaNipigie pande
Yeah, it's just a joke.hapana huyo ni sawa na mwanangu na ananiita baba
Najua ni utani tuYeah, it's just a joke.
Si umpatie iyo Adabu ili ajanjuruke. Usikute bado bikirahapana,mie ni mwalimu mwenye nidhamu kubwa sana,pia ni babu mwenye adabu
Sanaa ni LuluNiliwahi kufundisha chuo kikuu kimoja hapa Tanzania. Nilikuwa na mwanafunzi mmoja—mpole, mkimya, hana makuu, hanywi pombe, haendi out, ni mtulivu sijapata kuona.
Ni Mkristo, lakini huvaa ushungi kila siku, na darasani alikuwa wastani tu. Alimaliza na alipata kazi mji huohuo aliposomea. Baada ya miaka miwili, nilienda kumtembelea alipopanga. Nilimkuta na sifa zake zilezile.
Niliongea naye sana, na akaniambia kuwa mpaka sasa hajapata mchumba japo anatafuta sana mwenza na anasali kila siku. Nilishangaa, mdada mzuri kama huyo kukosa mume. Kweli, hata mimi roho inaniuma sana.
Peleka FacebookNiliwahi kufundisha chuo kikuu kimoja hapa Tanzania. Nilikuwa na mwanafunzi mmoja—mpole, mkimya, hana makuu, hanywi pombe, haendi out, ni mtulivu sijapata kuona.
Ni Mkristo, lakini huvaa ushungi kila siku, na darasani alikuwa wastani tu. Alimaliza na alipata kazi mji huohuo aliposomea. Baada ya miaka miwili, nilienda kumtembelea alipopanga. Nilimkuta na sifa zake zilezile.
Niliongea naye sana, na akaniambia kuwa mpaka sasa hajapata mchumba japo anatafuta sana mwenza na anasali kila siku. Nilishangaa, mdada mzuri kama huyo kukosa mume. Kweli, hata mimi roho inaniuma sana.
sawaTatizo nyie wazee munaona binti katulia Ila sisi vijana tunaona binti ajatulia Tuna juwa Nani kapita pia ajui kukataa. Mambo kibao
asanteSanaa ni Lulu
unadhani nitakujibu niniSi umpatie iyo Adabu ili ajanjuruke. Usikute bado bikira