Mwanamke mpole na mtulivu sana

Mwanamke mpole na mtulivu sana

Mwanaume akimpa lift mwanamke, ataomba namba yake ya simu ili ampigie baadae kujua kama karudi salama.
 
Niliwahi kufundisha chuo kikuu kimoja hapa Tanzania. Nilikuwa na mwanafunzi mmoja—mpole, mkimya, hana makuu, hanywi pombe, haendi out, ni mtulivu sijapata kuona.

Ni Mkristo, lakini huvaa ushungi kila siku, na darasani alikuwa wastani tu. Alimaliza na alipata kazi mji huohuo aliposomea. Baada ya miaka miwili, nilienda kumtembelea alipopanga. Nilimkuta na sifa zake zilezile.

Niliongea naye sana, na akaniambia kuwa mpaka sasa hajapata mchumba japo anatafuta sana mwenza na anasali kila siku. Nilishangaa, mdada mzuri kama huyo kukosa mume. Kweli, hata mimi roho inaniuma sana.
Bikra anayo?
 
Sanaa ni Lulu
 
Tatizo nyie wazee munaona binti katulia Ila sisi vijana tunaona binti ajatulia Tuna juwa Nani kapita pia ajui kukataa. Mambo kibao
 
Niliwahi kufundisha chuo kikuu kimoja hapa Tanzania. Nilikuwa na mwanafunzi mmoja—mpole, mkimya, hana makuu, hanywi pombe, haendi out, ni mtulivu sijapata kuona.

Ni Mkristo, lakini huvaa ushungi kila siku, na darasani alikuwa wastani tu. Alimaliza na alipata kazi mji huohuo aliposomea. Baada ya miaka miwili, nilienda kumtembelea alipopanga. Nilimkuta na sifa zake zilezile.

Niliongea naye sana, na akaniambia kuwa mpaka sasa hajapata mchumba japo anatafuta sana mwenza na anasali kila siku. Nilishangaa, mdada mzuri kama huyo kukosa mume. Kweli, hata mimi roho inaniuma sana.
Peleka Facebook
 
Back
Top Bottom