Mwanamke mpumbavu hupigwa ili upumbavu umtoke

Daah, nimekuelewa kiongozi. [emoji2]
 
Hoja zinazomfanya mwanaume umpumbavu kupiga na ashindwe kujibu hoja za mwanamke mpaka atumie nguvu baadhi ya maneno ya wakina mama..

1.Mwanaume suruali kama wewe sio suruali prove it na sio ngumi
2.nakulea halafu unaleta jeuri, angalia wanume wenzako wanavyowapenda wake zao, then prove it kama kidume sio ngumi
3.mwanume huna upendo mbona wenzako hawako hivyo
4.unakaa bure kwnagu huna mbele huna nyuma



Na kauli nyingine nyingi nyingi tu sasa mwanaume mzima unashindwaje hojaaaaa kuzipangua kwa hojaaaaaa, unakimbilia ngumi tu jitu zima huna hata akili, hasira zimekujaa kama simba, nguvu haitatui matatizo, tumeambiwa tuishi nao kwa akili na sio kwa nguvu
 
Umeweka namba ya simu ili iweje acha ushamba,

Maandiko yanansema ishini na wanawake kwa akili na sio nguvu,
 
Heshima inaletwa kwa fimbo?
Wewe umechapwa na walimu wako shuleni, ulikuwa unawaheshimu au ulikuwa unawaogopa?

kuogopa ndio kuheshimu, au hujui. Ni Lugha tuu inakuchanganya. Mtu anayekuogopa lazima akuheshimu, lakini sio kila anayekuheshimu anakuogopa.

Ila kuogopa ni heshima iliyopitiliza
 

Huwezi elewa nilichoandika pasipo kufikiri vyema
 
Hapa kwenye thread kuna wanaume na masharobaro, wanaume tumekuelewa ila masharobaro na usharo wao wamesoma kisharo sharo hawajamaliza na hawajajua 'yaliyomo' basi nao wanacomment 'uharo'

Mwanamke mpumbavu kumkefua ni lazima ili awe na hekima,heshima pamoja na hofu ya ndoa.

Hello ndugu Taikon wa Fasihi
 

Mkuu wapumbavu wameng'ang'ania kuwatetea wapumbavu wenzao wakati huo mada imeelezea pia wanawake wenye hekima kuwa wasipigwe. Hahahah!

Nilitegemea watasema tutajitahidi tuwe na hekima tusipigwe lakini wanang'ang'ania upumbavu, watachapika, watapigwa, watasagika
 
NAMUONEA HURUMA MWANAUME ANAYEISHI NA HUYO MWANAMKE
 
kwa hiyo wapigwee tuuuu au sio
 
Mwanamke mpumbavu anaolewa na mwanaume MPUMBAVU . Hauwezi kuwa sio mpumbavu halafu Mungu akupe mwanamke mpumbavu.

Hewalaa! Sasa njia rahisi ya kuondoa upumbavu ni bakora, vipigo vya haja. Uone kama huyo mwanamke hatanyooka.

Wapumbavu huteteana, nilitegemea wanawake wapumbavu mtasema tutajitahidi tuwe na hekima badala yake mnasema msipigwe. Tutawapiga tuuu! Hata ziundwe sheria gani kuwatetea lakini sisi hatutaacha kuwapiga maadamu mtafanya upumbavu weni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…