Mwanamke mpumbavu hupigwa ili upumbavu umtoke

🤣🤣🤣🤣 Kaazi

We cheka hapo lakini ukweli ndio huo, Mtaunda NGO zenu za kipumbavu muteteane lakini nasi hatutarudi nyuma kuonyesha makali ya vipigo mpaka upumbavu wenu utokomee. Hatuwezi ku-entertain upumbavu kwa haki za kipuuzi za binadamu.

Yaani Wapumbavu badala waunde mashirika ya kuwafanya wawe na hekima wao wanaunda ati kuwatetea ili waendelee kuwepo na kuwa wapumbavu. Mtachapika abadan
 
kuogopa ndio kuheshimu, au hujui. Ni Lugha tuu inakuchanganya. Mtu anayekuogopa lazima akuheshimu, lakini sio kila anayekuheshimu anakuogopa.

Ila kuogopa ni heshima iliyopitiliza
naona unawapa makavu na elimu ya lugha juu hahaaaa uzi wako huu naona unautendea haki
 
Wanaotetea humu,hawajaingia kwenye ndoa wajionee
 
Hewalaa! Sasa njia rahisi ya kuondoa upumbavu ni bakora, vipigo vya haja. Uone kama huyo mwanamke hatanyooka.

Wapumbavu huteteana, nilitegemea wanawake wapumbavu mtasema tutajitahidi tuwe na hekima badala yake mnasema msipigwe. Tutawapiga tuuu! Hata ziundwe sheria gani kuwatetea lakini sisi hatutaacha kuwapiga maadamu mtafanya upumbavu weni
Na huyu mwanaume mpumbavu upumbavu wake unaondolewa na nini?
Yani wewe ni mshamba na mpumbavu wa karne.
 
Akili ni pamoja na nguvu wapi unakwama.
Kwa hiyo ukiambiwa mtu anaakili unafikiri watu wataangalia nini?
Sikwami mahali, unahalalisha vipigo kwenye jamii ni ukatili, kumbuka nawe utakija kuwa na binti yako, pia dada zako, mama zako utafurahi kuona wanapigwa? Mwanaume smart anatumia akili kumjenga mwenzake
 
Na huyu mwanaume mpumbavu upumbavu wake unaondolewa na nini?
Yani wewe ni mshamba na mpumbavu wa karne.

Mwanaume mpumbavu hawezi kuoa, na akioa ndio hawa wanaotetea wapumbavu wenzake. Upumbavu wa mwanaume mpumbavu huondolewa kwa kumpa watoto wasiowake.

Kumbuka ili mwanaume awe mpumbavu lazima akubali upumbavu wa mke wake.

Nimekubali mimi ni mshamba, ila ndio ujue upumbavu wako utaondolewa na kipigo
 
Ilà kuishi na mwanamke anayejitambua raha sana, yaani badala ya kuwaza kulea, maendeleo watu wameishia kuwaza kupiga na kuua.
 
We cheka hapo lakini ukweli ndio huo, Mtaunda NGO zenu za kipumbavu muteteane lakini nasi hatutarudi nyuma kuonyesha makali ya vipigo mpaka upumbavu wenu utokomee. Hatuwezi ku-entertain upumbavu kwa haki za kipuuzi za binadamu.

Yaani Wapumbavu badala waunde mashirika ya kuwafanya wawe na hekima wao wanaunda ati kuwatetea ili waendelee kuwepo na kuwa wapumbavu. Mtachapika abadan
Punguza hasira Basi.
 
Hewalaa! Sasa njia rahisi ya kuondoa upumbavu ni bakora, vipigo vya haja. Uone kama huyo mwanamke hatanyooka.

Wapumbavu huteteana, nilitegemea wanawake wapumbavu mtasema tutajitahidi tuwe na hekima badala yake mnasema msipigwe. Tutawapiga tuuu! Hata ziundwe sheria gani kuwatetea lakini sisi hatutaacha kuwapiga maadamu mtafanya upumbavu weni
kweli kabisa.Hata itungwe sheria kwamba ukimpiga mwanamke unafungwa kifungo cha maisha and still walete upumbavu watapigwa sana tuuu
 
Sikwami mahali, unahalalisha vipigo kwenye jamii ni ukatili, kumbuka nawe utakija kuwa na binti yako, pia dada zako, mama zako utafurahi kuona wanapigwa? Mwanaume smart anatumia akili kumjenga mwenzake

Hapo nimeshasema kuwa binti yangu au dada yangu akiwa mpumbavu acha abundwe akili iwe sawa. Kwanza anatuaibisha ndugu zake kuwa hatujamfunza. Wewe binti kama ni malaya, linatembea hovyo na wanaume kama mbwa, halimuagi mume wake, kwa nini asipigwe.

Kikawaida sitegemei kuletewa malalamiko kutoka kwa shemeji yangu, au mkwe wangu aliyemuoa binti yangu kuwa binti yangu au dada yangu anasumbua. Nategemea kusikia malalamiko kutoka kwa binti yangu au dada yangu kuwa amepigwa, kisha nitamuuliza wewe ni mpumbavu mpaka upigwe? Kama umefumaniwa, hujalala kwa mumeo, hujaaga aiseee acha ubondwe akili zikukae sawa.
 
Sikwami mahali, unahalalisha vipigo kwenye jamii ni ukatili, kumbuka nawe utakija kuwa na binti yako, pia dada zako, mama zako utafurahi kuona wanapigwa? Mwanaume smart anatumia akili kumjenga mwenzake
unatakiwa kuwaambia dada zako wasilete upumbavu la sivyo watapigwa tuu
 
Back
Top Bottom