Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #161
Sema mkuu utakua umekurupuka kujibu ungesoma uzi wake mwanzo mwisho pia Kuna sehemu kasema kidume unalelewa afu unampiga mwanamke wewe ndo unapaswa kupigwa kwasababu yeye ndo kawa mwanaume afu wwlewe wakiume umekua wakike pia kuhusu kumpoga mwanamke me siungani nae sema kuepusha Shari kwa hoja zake Kama mwanamke kulala nje ya ndoa kufumaniwa ayo maswala yanatatulika kwa kusamehana au talaka simple tu sio kumpiga afu unaendelea kuishi nae Iloo nalo tatzo Apo mtoa mada kazngua
Masuala hayo ya talaka, na kusameheana ndio yameharibu dunia na kuzidisha uzinzi. Ukishaoa ni jukumu la mwanaume kuhakikisha mwanamke wake anamtii iwe kwa nguvu au kwa hiyari. Kama kuna hali ya kuhatarisha maisha ndio kuachana kutokee. Wanawake wa zamani walikuwa na adabu kwa sababu wanaume walikuwa ngangari, wanaume walijua majukumu yao ikiwa na pamoja na kuihudumia familia na kutoa adhabu kwa mke endapo atakosea. Talaka inakuja mwisho kabisa pale mwanamke anapokuwa tayari kufa kwa ajili ya upumbavu wake