Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #121
🤣🤣🤣🤣 Kaazi
naona unawapa makavu na elimu ya lugha juu hahaaaa uzi wako huu naona unautendea hakikuogopa ndio kuheshimu, au hujui. Ni Lugha tuu inakuchanganya. Mtu anayekuogopa lazima akuheshimu, lakini sio kila anayekuheshimu anakuogopa.
Ila kuogopa ni heshima iliyopitiliza
Na huyu mwanaume mpumbavu upumbavu wake unaondolewa na nini?Hewalaa! Sasa njia rahisi ya kuondoa upumbavu ni bakora, vipigo vya haja. Uone kama huyo mwanamke hatanyooka.
Wapumbavu huteteana, nilitegemea wanawake wapumbavu mtasema tutajitahidi tuwe na hekima badala yake mnasema msipigwe. Tutawapiga tuuu! Hata ziundwe sheria gani kuwatetea lakini sisi hatutaacha kuwapiga maadamu mtafanya upumbavu weni
NAMUONEA HURUMA MWANAUME ANAYEISHI NA HUYO MWANAMKE
Heshima inaletwa kwa fimbo?
Wewe umechapwa na walimu wako shuleni, ulikuwa unawaheshimu au ulikuwa unawaogopa?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Moja wapo ya akili ya kuishi nae ni kipigo akileta upumbavu.
Sikwami mahali, unahalalisha vipigo kwenye jamii ni ukatili, kumbuka nawe utakija kuwa na binti yako, pia dada zako, mama zako utafurahi kuona wanapigwa? Mwanaume smart anatumia akili kumjenga mwenzakeAkili ni pamoja na nguvu wapi unakwama.
Kwa hiyo ukiambiwa mtu anaakili unafikiri watu wataangalia nini?
kwa hiyo wapigwee tuuuu maana hamna namna au sioSijakataa, nawe kubali wewe ni Mwanamke mpumbavu unayepaswa kukutana na mikono ya Uchebe
Ukiona mwanamke ni mpumbavu jua mwanaume ni mpumbavu zaidi ndio maana akapewa wa kufanana nae.sasa kwanini aolewe na mjinga? kwa hiyo wote ni wajinga?
Na huyu mwanaume mpumbavu upumbavu wake unaondolewa na nini?
Yani wewe ni mshamba na mpumbavu wa karne.
Umpige kwanini? umelazimishwa kuishi nae!? Amekushinda mrudishe kwao, mbona akili mnazo wanaume wenzangu mnafeli wapi?Moja wapo ya akili ya kuishi nae ni kipigo akileta upumbavu.
sasa mbona unaunga mkono hoja zake.hapo it means unasema kwamba shilole ni mpumbavu na anastahili kupigwaMwanamke mpumbavu anaolewa na mwanaume MPUMBAVU . Hauwezi kuwa sio mpumbavu halafu Mungu akupe mwanamke mpumbavu.
Vipigo viendeleekwa hiyo wapigwee tuuuu maana hamna namna au sio
Punguza hasira Basi.We cheka hapo lakini ukweli ndio huo, Mtaunda NGO zenu za kipumbavu muteteane lakini nasi hatutarudi nyuma kuonyesha makali ya vipigo mpaka upumbavu wenu utokomee. Hatuwezi ku-entertain upumbavu kwa haki za kipuuzi za binadamu.
Yaani Wapumbavu badala waunde mashirika ya kuwafanya wawe na hekima wao wanaunda ati kuwatetea ili waendelee kuwepo na kuwa wapumbavu. Mtachapika abadan
kweli kabisa.Hata itungwe sheria kwamba ukimpiga mwanamke unafungwa kifungo cha maisha and still walete upumbavu watapigwa sana tuuuHewalaa! Sasa njia rahisi ya kuondoa upumbavu ni bakora, vipigo vya haja. Uone kama huyo mwanamke hatanyooka.
Wapumbavu huteteana, nilitegemea wanawake wapumbavu mtasema tutajitahidi tuwe na hekima badala yake mnasema msipigwe. Tutawapiga tuuu! Hata ziundwe sheria gani kuwatetea lakini sisi hatutaacha kuwapiga maadamu mtafanya upumbavu weni
inawezekana kabisaWanaotetea humu,hawajaingia kwenye ndoa wajionee
Sikwami mahali, unahalalisha vipigo kwenye jamii ni ukatili, kumbuka nawe utakija kuwa na binti yako, pia dada zako, mama zako utafurahi kuona wanapigwa? Mwanaume smart anatumia akili kumjenga mwenzake
unatakiwa kuwaambia dada zako wasilete upumbavu la sivyo watapigwa tuuSikwami mahali, unahalalisha vipigo kwenye jamii ni ukatili, kumbuka nawe utakija kuwa na binti yako, pia dada zako, mama zako utafurahi kuona wanapigwa? Mwanaume smart anatumia akili kumjenga mwenzake