Mwanamke mpumbavu hupigwa ili upumbavu umtoke

Umpige kwanini? umelazimishwa kuishi nae!? Amekushinda mrudishe kwao, mbona akili mnazo wanaume wenzangu mnafeli wapi?
Utaoa na kuacha wangapi? Mwanamke ni sawa na mtoto wako huwezi kumfukuza kwako kisa tuu amefanya ni fimbo tuu mpaka akae sawa.
 
Punguza hasira Basi.


Hahahaha! Hasira za nini Bhana.
Hujui hasira za hovyo hukaa vifuani vya wapumbavu. Hapa siwezi kukasirika kwani tunajadili. Waone wapumbavu wanavyotukana hapo juu. Kisa nimewaambia watabondwa wakileta upumbavu wao.

Wanaume wengine hatutaki kuletewa mambo ya kipuuzi, ukijichanganya tunakusaga
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kuna siku wife alizungua nikamshtua kidogo akashtaki kwa Baba yake,baadae akanipigia simu nikampa scenario nzima ilivyokuwa sababu kosa lilikuwa linajirudia navumilia,yule Mzee akanipongeza sana na kuniambia wewe ndio Mkwe wangu unaejua kuishi na Mke na mpaka leo hii ananipenda na kuniheshimu sana sababu anasema wakwe zake wengine walioa binti zake kila kukicha kupiga simu na kumshtakia mambo ya kipuuzi.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
alizingua nini?
 

Imagine mwanamke anakunyima papuchi, ati unamuelekeza, unamuomba weee! Kisha bado hakuelewi. Mimi mkwe wangu akija kumsemelea binti angu kuwa kamnyima papuchi, nitamuambia achana naye kama umeshindwa kabisa kuishi naye. Umeshindwa kumtiisha mkeo utaweza kumtiisha nani, ukimshindwa mkeo umeshindwa kila kitu, kwani mkeo ni mwili mmoja na wewe.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Akili za kipumbavu hizi. Kumbuka mwanamke siyo mtumwa wako is a Friend mliokubaliana kuishi pamoja. Mkishindwana mnaachana kistaarabu. Kumpiga mwanamke ni upumbavu . unatumia weakness ya yeye kutokua na nguvu.
Huyu waefeso alikuwa na akili kuliko wewe
kutandika makofi is not about ushindwana au kupimana nan ana nguvu ndan ya nyumba, Ila Ni katka kumkumbusha tu mwanamke kwamba upo!
Hakuna ndoa ambayo hakuna kushindwana sabab wanawake wote Ni sawa, utaachana na wangapi kwanza! Mzigo wako unaubeba mwenyewe, umwachie Nan!!!!
 
Sikukosea kumbe kukuita MSHAMBA.
Kwahiyo papuchi unaitaka kwa nguvu?. Yaani umpige mwanamke kisa kakunyima papuchi?
Nyie ndio wale wa "vua basi, chanua mapaja". Mshamba kweli.
 

Imagine mwanamke anakunyima papuchi, ati unamuelekeza, unamuomba weee! Kisha bado hakuelewi. Mimi mkwe wangu akija kumsemelea binti angu kuwa kamnyima papuchi, nitamuambia achana naye kama umeshindwa kabisa kuishi naye. Umeshindwa kumtiisha mkeo utaweza kumtiisha nani, ukimshindwa mkeo umeshindwa kila kitu, kwani mkeo ni mwili mmoja na wewe.
 
Sikukosea kumbe kukuita MSHAMBA.
Kwahiyo papuchi unaitaka kwa nguvu?. Yaani umpige mwanamke kisa kakunyima papuchi?
Nyie ndio wale wa "vua basi, chanua mapaja". Mshamba kweli.

Utamnyima mume wako bila sababu ya maana alafu akuache unamchekea tuu? Utatoa iwe kwa nguvu au kwa hiyari. Ndio maana ya kitu kinachoitwa kutawala, na mamlaka. Usipotii tunafanya kwa nguvu. Muda wa kulalamika hatuna,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…