Messier 31
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 459
- 1,117
Bro, chukua hii.
Usijidanganye huyo mwanamke msomi na mwenye kazi uliyeoa kwamba hiyo elimu na kazi yake itakuwa na faida kwenye ndoa yenu
Bro, wanawake ni wachoyo na wabinafsi kupita maelezo, huo mshahara wake utaenda kwa wazazi na ndugu zake, kinachobaki atakitumia kwenye vipodozi, nguo, mawigi nk.
Bro, huko kupendeza usijidanganye ni anapendeza kwaajili yako wewe mume wa ndoa. Kupendeza anapendeza ili kuendelea kumpagawisha mume wake wa kazini, wenyewe wanawaita office hubby au work spouse
Bro, hiyo elimu yake na kazi ndio itakayovunja ndoa yenu. Elimu italeta ujuaji na uanaharakati uchwara ndani ya ndoa, kazi italeta kiburi na majivuno ndani ya ndoa. Ukiwa mwanaume dhaifu utaburuzwa ndani ya ndoa yako mwenyewe na ukiwa thabiti utaburuzwa mahakamani, atadai talaka na nusu ya mali zako. Mkiwa mmetengana atapandikiza watoto chuki na hutaamini hao watoto hata siku ukiiumwa hawatakuja kukuona.... Utaishia kuwaona tu mtandaoni wakiimba nani kama mama.
Bro, KATAA NDOA
Ukiikubali ndoa epuka wanawake WANAHARAKATI UCHWARA, wenye viburi na ujuaji mwingi, na hapa naongelea wasomi wenye kazi zao mjini