Mwanamke msomi ni faida kwa ndugu zake na sio mume

Bro, chukua hii.

Usijidanganye huyo mwanamke msomi na mwenye kazi uliyeoa kwamba hiyo elimu na kazi yake itakuwa na faida kwenye ndoa yenu

Bro, wanawake ni wachoyo na wabinafsi kupita maelezo, huo mshahara wake utaenda kwa wazazi na ndugu zake, kinachobaki atakitumia kwenye vipodozi, nguo, mawigi nk.

Bro, huko kupendeza usijidanganye ni anapendeza kwaajili yako wewe mume wa ndoa. Kupendeza anapendeza ili kuendelea kumpagawisha mume wake wa kazini, wenyewe wanawaita office hubby au work spouse

Bro, hiyo elimu yake na kazi ndio itakayovunja ndoa yenu. Elimu italeta ujuaji na uanaharakati uchwara ndani ya ndoa, kazi italeta kiburi na majivuno ndani ya ndoa. Ukiwa mwanaume dhaifu utaburuzwa ndani ya ndoa yako mwenyewe na ukiwa thabiti utaburuzwa mahakamani, atadai talaka na nusu ya mali zako. Mkiwa mmetengana atapandikiza watoto chuki na hutaamini hao watoto hata siku ukiiumwa hawatakuja kukuona.... Utaishia kuwaona tu mtandaoni wakiimba nani kama mama.

Bro, KATAA NDOA
Ukiikubali ndoa epuka wanawake WANAHARAKATI UCHWARA, wenye viburi na ujuaji mwingi, na hapa naongelea wasomi wenye kazi zao mjini
𝒲𝑒𝓃𝓎𝑒 𝒶𝓀𝒾𝓁𝒾 𝓃𝒶 𝓌𝑒𝓇𝑒𝓋𝓊 𝓉𝓊𝓃𝒶𝓀𝓊𝑒𝓁𝑒𝓌𝒶
 
Nayenyewe ukizubaa utajikuta unalea wa Office spouse 😊
6EA022FA-7F81-49C7-A0B7-69030C83FB40.jpeg
 
Hata tuwe wema vipi bado hamtuamini 😅😅😜
Alichoongea mtoa mada kina ukweli kwa asilimia kubwa. Sisi wanaume tukiongelea ubinafsi wa wanawake, it's not really about money 100% it's about attitude/jinsi mwanamke anavyoichukulia hiyo ndoa

Sometimes , mdada ambae ni jobless na broke anaweza kuwa supportive kwenye ndoa kuliko mdada anaelipwa tsh 5 million kwa mwezi. realMamy
 
Sasa umeshasema wanawapa wazazi, watoto, ndugu na jamaa zao halafu bado mnawaita wachoyo na wabinafsi huo uchoyo na ubinafsi wao uko wapi hapo, au ni hadi wawape ninyi ndio wasionekane kama wachoyo au wabinafsi, hilo ni suala la vipaumbele tu mwanamke ni kipaumbele cha mwanaume ila mwanaume hajawahi kuwa kipaumbele cha mwanamke, sema jamii ndio ilitengeneza iwe hivyo halafu wanawake wana vingi vya kuoffer kwa wanaume ukitoa pesa, ilihali wanaume ukitoa pesa hawana cha kuoffer kwa wanawake
Sio kweli wanawake wa siku hizi hawana cha ku offer,mfano ndani usafi wa nyumba,kupika na kufua anafanya dada wa kazi-ingawa Mke yupo.
 
Hakuna cha zaidi anachoofa mwanamke wa kisasa ambacho House girl anashindwa. Tena House girl anaweza kwenda extra mile.

Sasa tazama unachosapoti hapa. Kwamba ukae kwangu,ule chakula changu,utumie pesa zangu,mimi huyo huyo niwe ndio wa kukupa motisha ya kujijenga kimaisha halafu pesa ukatatue changamoto alizoshindwa baba na mama yako,hivi wewe ni timamu hapo kichwani kweli?🤔

Wewe unayachukulia mahusiano ya ndoa ni ushosti si ndio?

Yaani unaolewa na kwenda kuishi na mume ila mipango yako unapanga kwaajiri ya ukoo wako kama sio kukosa akili ni nini hapo?🤔

Sasa si ulipotoka shule si ungeendelea kuishi kwenu na ujenge familia yenu.
 
Umeanza vizuri ila mwishoni umeharibu kwa pumba
Bro, chukua hii.

Usijidanganye huyo mwanamke msomi na mwenye kazi uliyeoa kwamba hiyo elimu na kazi yake itakuwa na faida kwenye ndoa yenu

Bro, wanawake ni wachoyo na wabinafsi kupita maelezo, huo mshahara wake utaenda kwa wazazi na ndugu zake, kinachobaki atakitumia kwenye vipodozi, nguo, mawigi nk.

Bro, huko kupendeza usijidanganye ni anapendeza kwaajili yako wewe mume wa ndoa. Kupendeza anapendeza ili kuendelea kumpagawisha mume wake wa kazini, wenyewe wanawaita office hubby au work spouse

Bro, hiyo elimu yake na kazi ndio itakayovunja ndoa yenu. Elimu italeta ujuaji na uanaharakati uchwara ndani ya ndoa, kazi italeta kiburi na majivuno ndani ya ndoa. Ukiwa mwanaume dhaifu utaburuzwa ndani ya ndoa yako mwenyewe na ukiwa thabiti utaburuzwa mahakamani, atadai talaka na nusu ya mali zako. Mkiwa mmetengana atapandikiza watoto chuki na hutaamini hao watoto hata siku ukiiumwa hawatakuja kukuona.... Utaishia kuwaona tu mtandaoni wakiimba nani kama mama.

Bro, KATAA NDOA
Ukiikubali ndoa epuka wanawake WANAHARAKATI UCHWARA, wenye viburi na ujuaji mwingi, na hapa naongelea wasomi wenye kazi zao mjin
 
Sio kweli wanawake wa siku hizi hawana cha ku offer,mfano ndani usafi wa nyumba,kupika na kufua anafanya dada wa kazi-ingawa Mke yupo.
Haka ni katoto kakishua hakajui chochote kuhusu life ya kujitegemea. Maneno yake yanadhihirisha.

Mtu ambaye ametoka kwao amekimbia migogoro ya kifamilia,manyanyaso na fitina za ndugu huyo ndoa kwake ni safe heave hawezi leta upuuzi.

Haka kanaonekana hata kukatoa kwao ni changamoto,kanaenda nje kuliwa tu ila mimba katapeleka kwao familia yake watalea bila shida sababu maokoto yapo.

Chumba kipo,nyumba ni nyingi kuliko watoto wa familia yao unadhani atahangaika na maisha ya ndoa ili agundue nini?

Kuna kauli mtu akiongea unajua amejiandaa kufanya maamuzi gani maishani. Haka kamejipanga kuzalia kwao na kilea mtoto kwao na familia yake. Mwanaume wa kumtunza ni baba yake,mama yake kaka zake na ndugu zake.
Akina mwajuma hawawezi ongea haya maneno.
 
Si tulikubaliana wanawake hatuna cha kuwa offer zaidi ya papuchi?? Au kuna kikao kipya mlikaa mkabadilisha maamuzi??
binti kiziwi mate hebu njoo unielezee km kuna mswaada mpya mimi sikuwepo kwenye kikao 😹😹😹

Na kitawalamba sana mpk maji muite mma 🤣
Kuna wadada ambao ni jobless na wako broke, ila wanatoa support kubwa sana kwa wanaume zao kuliko wadada wanaolipwa mshahara wa million 2 kwa mwezi, mwanaume unajihisi kabisa hapa nimepata na bila huyu mdada huenda nsingefika level hii ya mafanikio.

Kuna wadada wanalipwa mishahara mizuri ila wana vizinga vikubwa kuliko wadada ambao hawana hela. Mdada hana mtoto unajiuliza hela yake anapeleka wapi, utakuta she takes care of her mother/father/siblings which is good, lkn mbona bill kubwa k.v hujawahi lipwa mshahara miaka 14 😁

Sasa mwanamke kama huyo si liability, bora u-date na mwajuma ndala ndefu anaekupa amani ya moyo huku ukimhudumia kwa uwezo wako Lamomy
 
Tumekubaliana sisi hatuna cha kuwa offer na mwanamke asomeshwe na wazazi wake..!!
Sasa unataka mshahara wake unakuhusu? Si unapewa papuchi au?? 😹😹

Mtakula jeuri yenu na bado mtatoa sana milio mbegesi nyie 🤣
 
Back
Top Bottom