Mwanamke msomi ni faida kwa ndugu zake na sio mume

Mwanamke msomi ni faida kwa ndugu zake na sio mume

Haya yote mnayataka wenyewe wala msisingizie 50 50 ninyi wanaume hamtaki haki sawa ila mnataka majukumu sawa tena ikibidi mwanamke afanye zaidi, yani hadi leo kazi za nyumbani na malezi ya watoto mnaona ni majukumu ya mwanamke hamtaki kusaidia halafu hapo hapo bado mnataka wanawake wawape hela kama ninyi mnavyowapa na bado wawatii na wawaheshimu hivi inaingia akilini kweli hiyo, unaposema mwanamke anafaidi kusitiriwa hebu niambie anafaidi nini hasa ikiwa siku hizi mpaka michepuko yenu nayo mnaitreat kama wake zenu tu yani siku hizi tofauti ya mke na mchepuko ni pete na majukumu tu
Ni lini wanaume waliingia barabarani au majukwaani kudai haki sawa na wanawake?

Kwann huwa unapenda kutengeneza ulimwengu wako wa UTOPIA ya MAFEMINIST kama hautumii akili sawa sawa?

Unapodai haki sawa then tegemea kupewa wajibu sawa na yule unayedai kupewa haki sawa nae.

Wanawake mna majukumu yenu maalumu ya kike ambayo wanaume hatujawahi wala hatutawahi kuyatamani.

Maswala ya usimamizi wa nyumba kuanzia usafi, chakula,kuhudumia,kulea na kutunza watoto na mume hayo ni majukumu rasmi ya kike.

Huwezi sikia mwanaume anamshurutisha mkewe kujenga nyumba na kulipia gharama za ujenzi au kumtaka mkewe alipe gharama za nyumbani kama umeme,maji,gesi, internet,ada,chakula na manunuzi ya msimu ya nyumbani labda kama huyo mwanaume kichwani hazijamtimia.

Mwanaume kamili huwa anajua kuwa yeye anawajibika na majukumu yake na mke ya kwake.

Mwanamke anapotaka sasa kuacha majukumu yake ya nyumbani ili atoke nje kwenda kujitafutia maisha ambayo anayatamani tu ila hakuna ushawishi wa mwanaume kumtaka afanye hivyo wala ulazima wa yeye kufanya hivyo then swala yeye kuanza kuingizwa katika majukumu ya kiume ndipo linaibuka.

Sijui nani anawadanganya kuwa wanaume wanahitaji msaada wa kutafuta pesa kwa mwanamke,huu upuuzi huwa mnatoa wapi?🤔
 
Tumekubaliana sisi hatuna cha kuwa offer na mwanamke asomeshwe na wazazi wake..!!
Sasa unataka mshahara wake unakuhusu? Si unapewa papuchi au?? 😹😹

Mtakula jeuri yenu na bado mtatoa sana milio mbegesi nyie 🤣
Wee leta mbususu tuchakate hiyo mambo ya hela zako kaa nazo ila utelezi leta tuteleze kenge weee
 
Tumekubaliana sisi hatuna cha kuwa offer na mwanamke asomeshwe na wazazi wake..!!
Sasa unataka mshahara wake unakuhusu? Si unapewa papuchi au?? 😹😹

Mtakula jeuri yenu na bado mtatoa sana milio mbegesi nyie 🤣
Wee leta mbususu tuchakate hiyo mambo ya hela zako kaa nazo ila utelezi leta tutele
 
Yaani binti kasomeshwa na wazazi wake kapata kazi wewe wa nyamitwebile umemuoa tena kwa mahari ya kusaidiwa unataka asiwasaidie kwao uhayani hivi umewAhi somesha wewe? Hebu somesha uone
Kwahiyo wazazi walisomesha punda ikawabebee mizigo yao ya uzembe wao wa kufeli maisha? Yaani wewe unachanganya kati ya kuwasaidia wazazi na shida ndogo ndogo kama chakula,matibabu na vitu vingine vya dharula na swala la Kutaka kuwabadilishia maisha wazazi wake completely yaani tu unataka kuwajengea nyumba wazazi,kuwasomesha wadogo zake full na wanandugu lakini pia kuwapa hela za matumizi, sasa hapo kwenye ndoa atakuwa na impact gani si angebakia kwao tu?

Mbona kuna mabinti kibao wapo tu kwao wamechagua kuwa misukule ya familia wanaliwa nje wanazalishwa wanabakia kwa wazazi wao hawana maigizo ya kuolewa?🤔

Usiigiz
 
Kabla ya ndoa, mapato yenu yanakuwa ya wote.
Baada ya ndoa, mapato ya mwanamke ni ya kwake.
Kipato cha mwanaume ndio cha wote
Na mume ni marufuku kuuliza au kujua kipato cha mke.
Haujahudhuria vikao vingi basi. Kikao cha mwaka 2000 hiyo kanuni ilitenguliwa. So jidanganye.
 
Sasa unataka mshahara wake unakuhusu? Si unapewa papuchi au?? 😹😹
Sijasema nataka mshahara wake, ila kuna namna mwanamke mwenye mshahara anatakiwa awe na impact kwenye familia kuliko ambae hana mshahara, sisemi kuwa ntakuwa kiben ten wa mke, majukumu ya kuhudumia familia ntayabeba kama mwanaume kwa asilimia kubwa, yani wewe unajua mwanamke supportive alivyo ila unajitoa tu ufaham

Mungu alivomuumba Eva, alikuwa na nia ya kumpa Adam msaidizi, sema ndo ivyo wasaidizi wengi sahivi mmekuwa wanyonyaji 😁

Mwanamke supportive nae inatakiwa abahatike apate mwanaume anaejielewa, mwanamke supportive ajichanganye aolewe na mzabzab looh Lamomy
 
Sijasema nataka mshahara wake, ila kuna namna mwanamke mwenye mshahara anatakiwa awe na impact kwenye familia kuliko ambae hana mshahara, sisemi kuwa ntakuwa kiben ten wa mke, majukumu ya kuhudumia familia ntayabeba kama mwanaume kwa asilimia kubwa, yani wewe unajua mwanamke supportive alivyo ila unajitoa tu ufaham

Mungu alivomuumba Eva, alikuwa na nia ya kumpa Adam msaidizi, sema ndo ivyo wasaidizi wengi sahivi mmekuwa wanyonyaji 😁

Mwanamke supportive nae inatakiwa abahatike apate mwanaume anaejielewa, mwanamke supportive ajichanganye aolewe na mzabzab looh Lamomy
Mwanamke anafanya kazi mshahara million. Mwanaume unapiga biashara unaishi kwa maokoto. Unalipa kodi ya nyumba,ada za watoto na utility zote juu yako ila mwanamke hata aseme siku akutoe out,akununulie kiatu cha maana, nguo,au anaunue tv set mpya hapo ndani au makochi abadili. Hathubutu.

Ilikuwa kosa sana kudhania kumpa mwanamke nguvu ya uchumi ingefanya maboresho kwenye jamii matokeo yake imedhoofisha jamii maradufu.
 
ila mwanamke hata aseme siku akutoe out,akununulie kiatu cha maana, nguo,au anaunue tv set mpya hapo ndani au makochi abadili. Hathubutu
Kukununulia nguo huko ni mbali😁, hapo kazini au mtaa wa jirani mjaribu mdada mmoja ambae sio ndugu Wala mpenzi, ila mmezoeana kidogo, mwambie unaomba akununulie andazi la 500, kuna uwezekano asilimia 95 kuwa hatokununulia, ila yeye atatategemea umpe zawadi kubwa kubwa k.v smartphone 😁 Zemanda
 
Mkuu share japo kidogo watu wajifunze?
Kitu kikubwa ambacho mwanaume anakihitaji kwenye ndoa ni "utii" kutoka kwa mke wake.
Mwanaume akimuoa mwanamke ambae sio mtii basi hapo ndipo tatizo na migogoro mingi huanzia.
Mwanamke hata awe na cheo kikubwa kumzidi mumewe, awe na fedha nyingi kumzidi mumewe hata awe na mamlaka kumzidi mumewe.... lakini akikosa utii huyo hafai kuwa mke.
 
Back
Top Bottom