Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri mpaka wababa wa watoto wako waje wakulipe hela ya matunzo kwa watoto wako, kisha wawabebe kwa kuwa wewe ni mlezi tu....Kitu pekee utachovuna kwa mwanamke ni watoto, uzao wako ndio Mali yako.
Muoe huyoMim tayari nnae demu flani hivi karibun nimegundua hii tabia kabisa nifanyeje? Nimpige chin au?
MmhSiyo wote wako hivo.kunabaadhi waelewa sana
Kama hamvioni vingine wanavyoofa au labda mnajua ila mnajitoa tu ufahamu basi sawa lakini pia kusema kwamba mwanamke hana cha kuofa zaidi ya papuchi ni sawa na kusema mawingu hayana kingine cha kuofa zaidi ya mvua, huwa mnakiri wenyewe kwamba kitu cha muhimu zaidi mnachohitaji toka kwa wanawake ni hicho na hata kuhangaika kwenu kutafuta pesa asilimia kubwa ni kwa ajili ya kutumia na wanawake, sasa kwanini mnaongea kama vile hicho wanachoofa is nothing to you na kina mbadala na kwamba hata mkikikosa in your entire life hakuna impact yoyotePapuchi na yas au Jadda
Ni kwa sababu mnataka wawasaidie majukumu haiwezekani mwanamke atoke kutafuta pesa na achangie uchumi wa familia halafu bado unataka kazi za nyumbani nazo afanye na bado akutii na akuheshimu, kama mke ni mama wa nyumbani hana shughuli yoyote ya kumuingizia kipato na unamhudumia kwa kila kitu halafu hataki kufanya kazi za nyumbani basi huyo hata mimi nakushauri fukuza, lakini kama mke anajitoa walau kiuchumi basi haina shida housegirl akifanya hizo kazi vinginevyo ni kutaka kumtwisha mwanamke mzigo wa majukumu na mwisho wa siku kumfanya asione umuhimu wa mwanaumeSio kweli wanawake wa siku hizi hawana cha ku offer,mfano ndani usafi wa nyumba,kupika na kufua anafanya dada wa kazi-ingawa Mke yupo.
Wewe naye usipende kukurupuka kama hujaelewa hoja uliza siyo kurukia kwenye hitimisho na kujikuta unamlisha mtu maneno, kama huyo mwanamke wako unamhudumia basi hana budi kujitoa kwako ila mimi nazungumzia hawa wanawake ambao mnataka wawasaidie majukumu, halafu tunapozungumzia wanawake tunazungumzia wote kwa ujumla hata housegirl naye ni mwanamke kwahiyo kama unaona housegirl ana vingi zaidi vya kuofa kuliko mpenzi wako basi muache oa housegirl tatizo liko wapiHakuna cha zaidi anachoofa mwanamke wa kisasa ambacho House girl anashindwa. Tena House girl anaweza kwenda extra mile.
Sasa tazama unachosapoti hapa. Kwamba ukae kwangu,ule chakula changu,utumie pesa zangu,mimi huyo huyo niwe ndio wa kukupa motisha ya kujijenga kimaisha halafu pesa ukatatue changamoto alizoshindwa baba na mama yako,hivi wewe ni timamu hapo kichwani kweli?🤔
Wewe unayachukulia mahusiano ya ndoa ni ushosti si ndio?
Yaani unaolewa na kwenda kuishi na mume ila mipango yako unapanga kwaajiri ya ukoo wako kama sio kukosa akili ni nini hapo?🤔
Sasa si ulipotoka shule si ungeendelea kuishi kwenu na ujenge familia yenu.
Yani huwa mnanifurahisha sana mnavyojikuta wanasaikolojia uchwara na kujifanya mnanijua kwa kuongelea sifa zangu na maisha yangu eti kisa mitazamo yangu ninayoiwasilisha humu, halafu mbaya zaidi mnapishana kauli kuna mwingine nimetoka kubishana naye huko kuhusu mada kama hii yeye anasema mimi naonekana nimetoka kwenye familia masikini na yenye migogoro mara sijui nimeumizwa na wanaume ndio maana nimekuwa feminist, mara sijui nitakuwa na sura ya baba na umbo la mwanaume maana mwanamke mrembo hawezi kuwa na mitazamo kama yangu sasa sijui nishike lipi ila nikishaonaga mtu anatoka kwenye mada anaanza kuleta ad hominem attacks kama hizo huwa najua tu ni defensive mechanism baada ya kuishiwa hojaHaka ni katoto kakishua hakajui chochote kuhusu life ya kujitegemea. Maneno yake yanadhihirisha.
Mtu ambaye ametoka kwao amekimbia migogoro ya kifamilia,manyanyaso na fitina za ndugu huyo ndoa kwake ni safe heave hawezi leta upuuzi.
Haka kanaonekana hata kukatoa kwao ni changamoto,kanaenda nje kuliwa tu ila mimba katapeleka kwao familia yake watalea bila shida sababu maokoto yapo.
Chumba kipo,nyumba ni nyingi kuliko watoto wa familia yao unadhani atahangaika na maisha ya ndoa ili agundue nini?
Kuna kauli mtu akiongea unajua amejiandaa kufanya maamuzi gani maishani. Haka kamejipanga kuzalia kwao na kilea mtoto kwao na familia yake. Mwanaume wa kumtunza ni baba yake,mama yake kaka zake na ndugu zake.
Akina mwajuma hawawezi ongea haya maneno.
Hivi huu unafiki wako utaacha lini kwani ninyi si ndio wale mnaosema kuwa wanawake waache kuwategemea wanaume waanze kujitegemea wenyewe na wajifunze kuwasaidia wanaume zao pale wanapokwama, sasa mnataka kuwapa wanawake majukumu sawa wakati hiyo haki sawa tu hamjamaliza kuwapa na hamko tayari kuwapa, mfano mpaka leo pamoja na kwamba wanawake wengi wameshaanza kutafuta pesa zao wenyewe na wengine wakiwasaidia wanaume zao lakini bado mnataka waendelee kuwatii na kuwaheshimu kwa kila kitu sasa mnataka hilo kwa misingi ipi, ofcourse hamuwezi kuyatamani majukumu ya wanawake sababu mnajua ni magumu ingawaje mnayadharau ilihali wanawake wanaweza kufanya majukumu yenu vizuri tu, kwahiyo kwa hapa tulipofikia tunaona ni nani mwenye shida maana wanawake wameshaonesha wako tayari kwa majukumu sawa ila wanaume ndio hamko tayari kwa haki sawa ndio maana baadhi ya wanawake bado wanasita kukubaliNi lini wanaume waliingia barabarani au majukwaani kudai haki sawa na wanawake?
Kwann huwa unapenda kutengeneza ulimwengu wako wa UTOPIA ya MAFEMINIST kama hautumii akili sawa sawa?
Unapodai haki sawa then tegemea kupewa wajibu sawa na yule unayedai kupewa haki sawa nae.
Wanawake mna majukumu yenu maalumu ya kike ambayo wanaume hatujawahi wala hatutawahi kuyatamani.
Maswala ya usimamizi wa nyumba kuanzia usafi, chakula,kuhudumia,kulea na kutunza watoto na mume hayo ni majukumu rasmi ya kike.
Huwezi sikia mwanaume anamshurutisha mkewe kujenga nyumba na kulipia gharama za ujenzi au kumtaka mkewe alipe gharama za nyumbani kama umeme,maji,gesi, internet,ada,chakula na manunuzi ya msimu ya nyumbani labda kama huyo mwanaume kichwani hazijamtimia.
Mwanaume kamili huwa anajua kuwa yeye anawajibika na majukumu yake na mke ya kwake.
Mwanamke anapotaka sasa kuacha majukumu yake ya nyumbani ili atoke nje kwenda kujitafutia maisha ambayo anayatamani tu ila hakuna ushawishi wa mwanaume kumtaka afanye hivyo wala ulazima wa yeye kufanya hivyo then swala yeye kuanza kuingizwa katika majukumu ya kiume ndipo linaibuka.
Sijui nani anawadanganya kuwa wanaume wanahitaji msaada wa kutafuta pesa kwa mwanamke,huu upuuzi huwa mnatoa wapi?🤔
Hii nimeipigia mistari 2. Uko sahihi.Bora huyo anateweza kutoa msaada hata kwa ndugu zake anakupunguzia mzigo. Nb hakikisha watoto wako wakike wanaenda shule