Mwanamke msomi ni faida kwa ndugu zake na sio mume

Sasa umeshasema wanawapa wazazi, watoto, ndugu na jamaa zao halafu bado mnawaita wachoyo na wabinafsi huo uchoyo na ubinafsi wao uko wapi hapo, au ni hadi wawape ninyi ndio wasionekane kama wachoyo au wabinafsi, hilo ni suala la vipaumbele tu mwanamke ni kipaumbele cha mwanaume ila mwanaume hajawahi kuwa kipaumbele cha mwanamke, sema jamii ndio ilitengeneza iwe hivyo halafu wanawake wana vingi vya kuoffer kwa wanaume ukitoa pesa, ilihali wanaume ukitoa pesa hawana cha kuoffer kwa wanawake
Unajua maana ya ndoa? Nyie wanawake wanaharakati uchwara mnaopigania 50/50 ndio nyie wabinafsi ambao hata chumvi ikiisha ndani mtamsubiri mwanaume aje kununua (huu ndio ubinafsi nauongelea)

Mlivyo wabinafsi mtasomesha wadogo zenu na kujengea wazazi wenu lakini hamuwezi changia hata 100 mbovu kwenye elimu ya watoto wenu au hata kwenye maendeleo ya familia (ndoa yenu), mzigo wote mtamuachia mwanaume

Ukiondoa pu$$y (ya masimango) hakuna kingine mwanaume anafaidi kwa mke mwanaharakati uchwara

Ukiondoa pesa kwa mwanaume, mawanamke anafaidi kusitiriwa kama mke wa ndoa pamoja na kupata mlinzi na kiongozi wa familia.... Tukirudisha pesa kwa mwanaume, mwanamke atafaidi kuanzia matunzo hadi nusu ya uchumi wa huyu mwanaume.
 
Na exclusivu 2 zote za.walimu moja singida moja shinyanga...
Singida...wameishi zaidi ya miaka 20 mtoto yopo form 5 mwanamke kamkataa mwanaume kamwambia mtoto huyo mkubwa wa form five sio wake anaondoka nae akamwachia wadogo wawili akaenda kwa baba wa mtoto mkubwa kaolewa
Shiyinga
Mwalimu me nessi ke
Baada ya miaka 10 ya ndoa mwanamke anamwambia me mtoto sio wako NI wa flani...flani anafuatwa anakubali...mwanamke anafukuzwa anaenda kwa flani wanaishi Kama baba na mama...la kujifunza...PIMA DNA...hao watoto unaweza kuta sio wako...na retirement plann yake akiona sio poa atakuonyesha baba za watoto unaowaita wako...
Hawa sasa ndio wanawake. Mwanamke mwenye kazi huwa ana ndoa mbili, moja ndoa rasmi na nyingine ya kazini

Mume wa ndoa rasmi usipokuwa makini utalea watoto wa mume wa kazini...... Mume wa kazini akishakuwa na uchumi imara, mke atatafuta sababu akukimbie wewe wa ndoa rasmi aende funga ndoa rasmi na yule wa kazini 😂
 
hilo ni suala la vipaumbele tu mwanamke ni kipaumbele cha mwanaume ila mwanaume hajawahi kuwa kipaumbele cha mwanamke, sema jamii ndio ilitengeneza iwe hivyo halafu wanawake wana vingi vya kuoffer kwa wanaume ukitoa pesa, ilihali wanaume ukitoa pesa hawana cha kuoffer kwa wanawake
📌📌📌 umenena vyema
 
Unajua maana ya ndoa? Nyie wanawake wanaharakati uchwara mnaopigania 50/50 ndio nyie wabinafsi ambao hata chumvi ikiisha ndani mtamsubiri mwanaume aje kununua (huu ndio ubinafsi nauongelea)

Mlivyo wabinafsi mtasomesha wadogo zenu na kujengea wazazi wenu lakini hamuwezi changia hata 100 mbovu kwenye elimu ya watoto wenu au hata kwenye maendeleo ya familia (ndoa yenu), mzigo wote mtamuachia mwanaume

Ukiondoa pu$$y (ya masimango) hakuna kingine mwanaume anafaidi kwa mke mwanaharakati uchwara

Ukiondoa pesa kwa mwanaume, mawanamke anafaidi kusitiriwa kama mke wa ndoa pamoja na kupata mlinzi na kiongozi wa familia.... Tukirudisha pesa kwa mwanaume, mwanamke atafaidi kuanzia matunzo hadi nusu ya uchumi wa huyu mwanaume.
Haya yote mnayataka wenyewe wala msisingizie 50 50 ninyi wanaume hamtaki haki sawa ila mnataka majukumu sawa tena ikibidi mwanamke afanye zaidi, yani hadi leo kazi za nyumbani na malezi ya watoto mnaona ni majukumu ya mwanamke hamtaki kusaidia halafu hapo hapo bado mnataka wanawake wawape hela kama ninyi mnavyowapa na bado wawatii na wawaheshimu hivi inaingia akilini kweli hiyo, unaposema mwanamke anafaidi kusitiriwa hebu niambie anafaidi nini hasa ikiwa siku hizi mpaka michepuko yenu nayo mnaitreat kama wake zenu tu yani siku hizi tofauti ya mke na mchepuko ni pete na majukumu tu
 
Ukimzungumzia mwanamke na ndoa kumbuka unazungumzia ,mama zetu,dada, shangazi ,na Bibi na ndoa zao.... Kitu kizito..
Hapa tunawazungumzia hawa wanawake wa kisasa, wanaharakati uchwara wanaopigania 50/50, wasomi wa kizazi cha kisasa..... Wenyewe wanakuambia wao kufanya house chores ni utumwa, kazi zote za nyumbani mtagawana, yeye akipika wewe mwanaume utaosha vyombo.... Akifua, wewe mwanaume utasafisha nyumba

Hapa tunazungumzia hivi vizazi viwili, Millennials na Gen Z..... Waogope kama ukoma
 
Hawa sasa ndio wanawake. Mwanamke mwenye kazi huwa ana ndoa mbili, moja ndoa rasmi na nyingine ya kazini

Mume wa ndoa rasmi usipokuwa makini utalea watoto wa mume wa kazini...... Mume wa kazini akishakuwa na uchumi imara, mke atatafuta sababu akukimbie wewe wa ndoa rasmi aende funga ndoa rasmi na yule wa kazini 😂
Huu ukweli mchungu kabisa.
 
Bro, chukua hii.

Usijidanganye huyo mwanamke msomi na mwenye kazi uliyeoa kwamba hiyo elimu na kazi yake itakuwa na faida kwenye ndoa yenu

Bro, wanawake ni wachoyo na wabinafsi kupita maelezo, huo mshahara wake utaenda kwa wazazi na ndugu zake, kinachobaki atakitumia kwenye vipodozi, nguo, mawigi nk.

Bro, huko kupendeza usijidanganye ni anapendeza kwaajili yako wewe mume wa ndoa. Kupendeza anapendeza ili kuendelea kumpagawisha mume wake wa kazini, wenyewe wanawaita office hubby au work spouse

Bro, hiyo elimu yake na kazi ndio itakayovunja ndoa yenu. Elimu italeta ujuaji na uanaharakati uchwara ndani ya ndoa, kazi italeta kiburi na majivuno ndani ya ndoa. Ukiwa mwanaume dhaifu utaburuzwa ndani ya ndoa yako mwenyewe na ukiwa thabiti utaburuzwa mahakamani, atadai talaka na nusu ya mali zako. Mkiwa mmetengana atapandikiza watoto chuki na hutaamini hao watoto hata siku ukiiumwa hawatakuja kukuona.... Utaishia kuwaona tu mtandaoni wakiimba nani kama mama.

Bro, KATAA NDOA
Ukiikubali ndoa epuka wanawake WANAHARAKATI UCHWARA, wenye viburi na ujuaji mwingi, na hapa naongelea wasomi wenye kazi zao mjini
We endelea kupiga Nyeto tu haya mambo yamekuzidi akili hutayaweza.
 
Sawa
 
Kila mtu na mawazo yake na mtazamo alio nao, katika kutafuta mwenzi wa maisha, sio kila mwanamke anafaa kuwa mke, ukisema mwanamke asiolewe kisa ni msomi sio sahihi, wapo ambao hawajasoma bado ni problem kwenye mahusiano ya ndoa, mwanamke yeyote ukimuonyesha msimamo anakuwa mpole awe na PHD au form 4, ukiitetemekea Elimu yake au kazi yake atakusumbua sana, kama umeoa mwenye digrii mfanye kama hiyo digrii hana, au hiyo kazi hana atakuwa mpole tu
 
Mimi binafsi nimebahatika kupata mke ambaye mshahara wake naupangia matumizi yq familia, na yeye yuko Joyful and respectful katika hili huu mwaka wa tano sasa sijaona badiriko.

Tusiwakatishe tamaa wadogo zetu waone kuishi na mke ni mzigo wa miiba ilihali sisi tulio wengi ni tokeo la ndoa za Baba na Mama.
 
Bro, chukua hii.

Usijidanganye huyo mwanamke msomi na mwenye kazi uliyeoa kwamba hiyo elimu na kazi yake itakuwa na faida kwenye ndoa yenu

Bro, wanawake ni wachoyo na wabinafsi kupita maelezo, huo mshahara wake utaenda kwa wazazi na ndugu zake, kinachobaki atakitumia kwenye vipodozi, nguo, mawigi nk.

Bro, huko kupendeza usijidanganye ni anapendeza kwaajili yako wewe mume wa ndoa. Kupendeza anapendeza ili kuendelea kumpagawisha mume wake wa kazini, wenyewe wanawaita office hubby au work spouse

Bro, hiyo elimu yake na kazi ndio itakayovunja ndoa yenu. Elimu italeta ujuaji na uanaharakati uchwara ndani ya ndoa, kazi italeta kiburi na majivuno ndani ya ndoa. Ukiwa mwanaume dhaifu utaburuzwa ndani ya ndoa yako mwenyewe na ukiwa thabiti utaburuzwa mahakamani, atadai talaka na nusu ya mali zako. Mkiwa mmetengana atapandikiza watoto chuki na hutaamini hao watoto hata siku ukiiumwa hawatakuja kukuona.... Utaishia kuwaona tu mtandaoni wakiimba nani kama mama.

Bro, KATAA NDOA
Ukiikubali ndoa epuka wanawake WANAHARAKATI UCHWARA, wenye viburi na ujuaji mwingi, na hapa naongelea wasomi wenye kazi zao mjini
Kuna kaukweli lakini🤔
 
Back
Top Bottom