Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Nilimwambia akasema mimi napenda ngono
Si useme tu unakaa Mku-nazini Yakhe
nimechoka na huyu mpenzi wang
Jina lako Nani kama wewe ndio bwana wanguSishangai watu kufeli f4! Hujajibu swali.
Ok mimi ndo bf wako nambie sasa!
enhe anza..................
Join Date : 9th February 2012
Posts : 26
JF bana, kaazi kwelkwel! Ukifikisha Posts 100, itakuwa balaa!!
Jina lako Nani kama wewe ndio bwana wangu
Wewe unahitaji ?We sema kama unahitaji mtu wa kukuna! Utaona wakavyokuPM mpaka utajaza server.
mimi nimesha maliza chuo na subiri kwenda us kuendelea na masomo
duuu kazi kweli kweli!!
sidhani kama mwanamme yeyote akikusikia unamwacha byfriend wako coz of that reason atataka kuwa nawewe!
sijajua hakufikishi kileleni kwa mantiki gani na kwa kiasi gani, but kuna sababu nyingi zinazopelekea kutofika kileleni kwako, inawezekana ww ndio tatizo kubwa, hebu kaa chini na huyo mwenzio mpate darasa la mapenzi jinsi ya kuridhishana bana
AFU WEWE INAONEKANA UMESHAJENGA AKILINI MWAKO MAPENZI NI ALL ABOUT NGONO TUU, YAANI BILA NGONO HAKUNA MAPENZI, Tena inaonekana unataka ngono ya kiwango cha juu
kwa mantiki hii hutokuja kudumu na mwanamme yeyote yule katika maisha yako...! kozi always mwanamke akikaa na mwanaume zaidi ya miezi 3 hali ya kuzoeana inajengeka so kunakuwa hakuna kitu kipya
acha uzembe ww mapenzi ni pamoja na care, upendo, faraja, kusaidiana na kupeana kampani, ngono inasehemu ndogo sana katika mapenzi
Ya nini kusumbuka na mtu usiemuona labda unaweza kuwa hata mwanaume mwenzangu! ngoja wazinzi utawaona wakavyokupapatikia, mie zikinizidi navuta housegirl wangu napunguza mafuta naendelea kuperuzi JF.Wewe unahitaji ?
mimi nimesha maliza chuo na subiri kwenda us kuendelea na masomo
Nilimwambia akasema mimi napenda ngono
Come to meNimeogea nae hajali