Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...


Mwenzako, amesema hakuna formular kwahiyo hakuna cha kumdai...wewe, umeeleza kwa kujiamini kabisa, kwamba hayo mambo yapo...weka basi au dadavua hapa hiyo formular sijui principle au chochote kinachofanana na hicho ili ku-support argument yako!
 
huyu waformula kanichanganya kabisa,kama mtu anatumia dakika 8 basi wangu hajawai.
 

Hii ni full KAMBA, unless umetoa hiyo fomula, na ikawa peer reviewed!!
 
Dotword,kwa ihsan yako naomba unipe hyo formula.
manake dah ushanchanganya!
 
mimi nitafurahii sana na nitahakikisha nimemfikisha kwani sii kila mwnamke anaweza kukueleleza tena huyo ni mwaminifu kweli kweli.
 
Kutofilishwa kileleni ni tatizo ambalo mara nyingi linachangiwa na wanawake wenyewe. Wanawake wengi hawako wazi kueleza wazi hasa nini kinaweza kumsaidia aenjoy wakati wa tendo. Mara nyingi huwa wanafanya assumption tu kwamba wanaume wote wanajua kila kitu kwenye majamboz.
Ushauri: mwambie huyo mpenzi wako akwambie wazi nini ufanye ili umfikishe mawenzi. Siyo kulalamika tu kukurushia wewe mzigo wote.
 
Kwa bahati mbaya au nzuri sijawahi kushindwa kumridhisha mwanamke.
Anayekula chakula kitamu ndiyo anapaswa kukisifia chakula na kumsifia mpishi, hapa umechemka.......sifa ya Mwanaume anaijuwa Mwanamke husika na si vinginevyo, usijipe promo za kitoto hapa.
 
umesha jua tatizo sababu mpenzio kakueleza. kwa nini
usimpe anachotaka? at least kakueleza hajatatua tatizo mwenyewe.
kama hujui anataka nini muulize kabisa au mwambie akuonyeshe.

Learning is a long journey. But silently thinking or meditating when we search our inner self is even longer and difficult than learning books about science and engineering.
Sijui huwa tunafikiri nini
 
Nimegundua wanawake wengi huwa wanafanywa mapenz tu ila hao huwa awarizik.

Weng hufanya kuwa furahisha wapenzi wao tu lakin huwa hawafkishw kileleni na wanaume zao.

Vip wewe?
 
Mimi nilidhani umetoa na solution kama wakisema......Samahan kumbe kwa wanawake tu,ngoja nichape lapa!
 
Nimegundua wanawake wengi huwa wanafanywa mapenz tu ila hao huwa awarizik.

Weng hufanya kuwa furahisha wapenzi wao tu lakin huwa hawafkishw kileleni na wanaume zao.

Vip wewe?

Suala la kufika kileleni ni jitihada za pamoja na si wajibu wa mtu mmoja kumfikisha mwingine.
 
sasa kwani unataka kuwaambia nini? nafikir ulipaswa kusema sababu na jins ya kutatua hilo tatizo wala siyo kujua au unataka tukujibie nondo zako za resaerch manake sasa hivi ndio mko kwenye data collection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…