Lugano Edom
Senior Member
- Dec 2, 2021
- 122
- 186
Elewa neno future 🔮Kwahiyo yeyote akisema nikuoe tukimbilie kama swala
Ila kipaumbele chake ni?Sio kila mwanamke kipaumbele chake ni kuolewa.
Kataa ndoa, ndoa ni mikopo ya kausha damuIla kipaumbele chake ni?
Mabinti wengi kwa sasa hawahitaji ndoa ukweli ndio huoNimewahi sikia eti MWANAUME ANASEMA WANAWAKE WANANIKATAA
👇
Rafiki mwanamke akupendae na mwenye Future Yake hakatai mtu. Labda kama anampango wa kuchuna mali zako.
But real women 🚺 hakatai mwanaume.
Hasa mwanaume anayehitaji kuoa
So ukiona wamwambia mwanamke Nikuoe hataki mwache
Haha 😂 😂 😂 😂Kataa ndoa, ndoa ni mikopo ya kausha damu
DaaahMabinti wengi kwa sasa hawahitaji ndoa ukweli ndio huo
Hahaha 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Kuoa ni suicide mission
Try at your own risk
Wengine kipaumbele chao ni kuwa masista.Ila kipaumbele chake ni?
Sawa mkuuNdoa sio muhimu lazima aangalie vigezo , sio kuoa iwe silaha ya sisi kuwanyanyasa wanawake na kuzuia ndoto zao , hivo hata mwehu akisema anataka kumuoa akubali Tu ? Hapana hawa Wana malengo pia , hawezi kuolewa wakati anajua hayuko safe
Sawa waende eneo husika mkuuWengine kipaumbele chao ni kuwa masista.
Wengine kuzaa watoto tu na kubaki Single mothers forever.
Si kila mwanamke anataka kuolewa.
Haha 😂Mbona ninakataa mkuu
Yaani basi tu au basi
Sawa mkuuWanaume tusitumie ndoa kama kigezo cha kuwablackmail wanawake nakataa
SawaWanaume tusitumie ndoa kama kigezo cha kuwablackmail wanawake nakataa