MWANAMKE MWENYE FUTURE YA MAISHA YAKE HAWEZI KUMKATAA MWANAUME ANAYEHITAJI KUMUOA.

MWANAMKE MWENYE FUTURE YA MAISHA YAKE HAWEZI KUMKATAA MWANAUME ANAYEHITAJI KUMUOA.

Huwezi kuolewa tu na kila mwanaume anayesema nikuoe...kuoa ni majukumu je huyo muoaji ana sifa za kuwq mume?
We Mwanaume akitaka kukuoa we mkubalie tu hakuna Mwanaume hasiyekua na sifa ya kua mume, Mwanamke ndiyo anayetakiwa kuwa na sifa za kua Mke kwasababu Mwanamke ndiyo operation Manager ndani ya familia.
 
Kama imekaa vizuri....ila kama ni mbishi na hasikilizi ushauri je?
 
Mabinti wengi kwa sasa hawahitaji ndoa ukweli ndio huo
Ndoa wanahiitaji lakini hawataki kuachana na ile hoe and prtying lifestyle waliyoaminishwa kwamba ndio uhuru, feminism au maisha ya kisasa.

After playing with her prime which is her early 20's , when she reach 30's now she wants innocent men to lodge her expired self.

Tafuta binti ambae anaishi kwa wazazi wake na akili yake haijapumbazwa na hizi chaos za kwenye dating pool, uone kama atakua na mtazamo hasi kuhusu ndoa.
 
Back
Top Bottom