mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Wanaweza wakaolewa mkuu. Kama wana vigezo.Tulikua Tunasema sana kwa hao who are willing to listen, that if you meet someone unaona anafuture/vision imenyooka, direction, long-term plans potential, na anauwezo wakuleta chochote Mezani, through hard work and commitment, it is better mka team up, to build life together and grow as partners.
Kuliko kuendelea kuchakaza nyuchi mtaani, Bora kwa wanaume sababu maungo Yao hayasomi mileage kama yetu, Sis unaweza kuwa ni Mwanamke wa 25 yrs tu lakini down there Papa lina muonekano wa Fifty Samsingi pathetic .
Sunset is real damsel π play ur cards accordingly
Kama uko 30+ na si mlevi, hujawahi kuzaa na huna kiburi cha hela utaolewa kirahisi mkuu.Huwezi kuandika kwa jazba hivi leo hii nikakupita! Sasa mkuu umemtongoza mshangaz wa 3rd floor akakukataa au? Haya basi huyo mfupi mweusi asiye na lolote ilimradi yuko wapi? Ukifika 30s ni lazima uwe mke wa mtu? Hizi mambo zimetokana na nini? Nani kazianzisha kwamba ukifika 30s lazima uwe na mume? Ukifika 30s usiwe na choices, eti chupi na aifon waahπ€
Hebu win-one njoo msikie huyuπ«΄πΎ
Ww n mmoja kati ya wanamke wachache mno wenye akili timamu.Tulikua Tunasema sana kwa hao who are willing to listen, that if you meet someone unaona anafuture/vision imenyooka, direction, long-term plans potential, na anauwezo wakuleta chochote Mezani, through hard work and commitment, it is better mka team up, to build life together and grow as partners.
Kuliko kuendelea kuchakaza nyuchi mtaani, Bora kwa wanaume sababu maungo Yao hayasomi mileage kama yetu, Sis unaweza kuwa ni Mwanamke wa 25 yrs tu lakini down there Papa lina muonekano wa Fifty Samsingi pathetic .
Sunset is real damsel π play ur cards accordingly
Nimekwambia sitaki kupigwa ndizi, pesa kwanzaπ«΄πΎHii m6oo yangu inamaajabu sana. Yaani ikikupiga unaweza ukasahau kama kunakitu kinachoitwa pesa katika hii Dunia.
Nakusihi naawe ijararibu uone maajabu yake.
Si kweli, kuna dada namjua yuko 30, hata kuongea hawezi ana aibu na bado bikra na hajaolewa! Kuna wamama wana watoto jopo na bado wanaolewa!Kama uko 30+ na si mlevi, hujawahi kuzaa na huna kiburi cha hela utaolewa kirahisi mkuu.
Shida ni wangapi wapo hivyo?
Nenda direct kwenye point mzeeπWw n mmoja kati ya wanamke wachache mno wenye akili timamu.
Wngn hapo kwenye comment n kufanya muendelezo wa kutetea body count zao zilizofika 100+ Ila ww umeenda straight kuukubali Ukweli
Kwa hiki ulichokiandika hapa, ww haupo kwenye ile list yangu ya wanawake wote ni malaya, wanatofautiana mbinu tuu
Increase your voice pliiz... T'themHuwezi kuandika kwa jazba hivi leo hii nikakupita! Sasa mkuu umemtongoza mshangaz wa 3rd floor akakukataa au? Haya basi huyo mfupi mweusi asiye na lolote ilimradi yuko wapi? Ukifika 30s ni lazima uwe mke wa mtu? Hizi mambo zimetokana na nini? Nani kazianzisha kwamba ukifika 30s lazima uwe na mume? Ukifika 30s usiwe na choices, eti chupi na aifon waahπ€
Hebu win-one njoo msikie huyuπ«΄πΎ
Wanaume wajifunze kudeal na trauma zao everyday wanawake this wanawake that na bla! bla! kibao.. kama umeona wanawake wa 30+ hawana interest na ndoa unawalazimishaje kuolewa! Mindset za kikoloni sana, kuoelewa ni maamuzi ya mtu na mtu! Na kama wameona tukifika huko tunawalazimisha kuoa si wakatae kwani ni watoto?Increase your voice pliiz... T'them
Zuleykha mambo? Nakuja pm tuyajengeIko ivi ndoa ni status ya nje tu , ila mwanaume atabaki kutongoza , atabaki kulala nje, na umalaya hatoacha... The only thing women gain in marriage is a status ktk jamii, I wonder why watu wanalizimishiana ndoa.... Binafsi nafikiri ni upuuzi tyu ambao unare
mbwarembwa
Hapa umeandika kama mwanaume anayeigiza kua mwanamkeSiku hizi nani anagombea m6oo kijana! Watu tunasaka pene! We kaa hapo ukifkiri kila mtu anataka kupigwa ndizi..
Na hakuna kitakachokuja kubadilika! Not in this world maybe the nextπIko ivi ndoa ni status ya nje tu , ila mwanaume atabaki kutongoza , atabaki kulala nje, na umalaya hatoacha... The only thing women gain in marriage is a status ktk jamii, I wonder why watu wanalizimishiana ndoa.... Binafsi nafikiri ni upuuzi tyu ambao unare
mbwarembwa
Haina kuremba bro πHapa umeandika kama mwanaume anayeigiza kua mwanamke
That is bitter truthNa hakuna kitakachokuja kubadilika! Not in this world maybe the nextπ
Hiyo biashara ya shetani kutafuta malaika duniani haipo! Wanaremba upuuzi, unaolewa ili jamii ikuone wewe mke wa mtu! Haitokaa ikusaidie lolote litakalokukuta ndani ya ndoa! Utalia mwenyew na kukonda kama huna pa kwenda! Watu wengi wapo kwneye ndoa ilimradi tu, kwa vile hana jinsi, ni basi tu ila hakuna cha maana huko bwana!
Umewahi kuwa karibu na hao 30s women ata mmoja? Au unachangia tu mada mezani?Unakuta hana mvuto wa kimapenzi/mahaba, hana shape/figure nzuri ya kuvutia wanaume, nani atamtaka?
Wenye miaka 30+ hawajaolewa ni waongo!walipata waume ndoa ikawashinda!Labda kama Bado bikra Hadi huo umri!kama hawana walishaolewa ndoa zikashindikana hao ni watalaka!!Mwanamke ukifikisha miaka 30 bila dalili za kupata mume ndio utaelewa kwa nini Mama yako alitupilia mbali vigezo vya mwanaume wa ndoto yake na kuolewa au kuzaa na Baba yako licha ya ufupi wake.
Unauliza Mwenyekiti nataka kusema nini?
Wewe uko hapo unasema Mimi mwanaume ili nikubali anioe lazima awe na funguo tatu yaani funguo ya nyumba, funguo ya ofisi na funguo ya gari.
Unataka mwanaume mrefu, mweusi, mwembamba mwenye six pack na mashine ya 5G.
Unataka mwanaume asiyekunywa Pombe, asiyevuta sigara na asiyependa wanawake, halafu awe mweusi, mrefu na awe na pesa na awe mchamungu.
Hivi unajua hizo sifa unazozitaka ni za wanaume 10 tofauti? Unajua hao ni wanaume 10 tofauti?
Halafu unataka sifa walizogawanyiwa wanaume 10 uzipate ndani ya mwanaume 1.
My dear sikufichi utazeeka ukiwa unatumika mtaani.
Kama unafikiri ni rahisi sana mwanaume kuwa na sifa hizo hebu jijenge uwe na sifa hizo.
Kama wewe mwenyewe hadi umri huo hizi funguo tatu huna, kitu pekee unachomiliki ni simu, chupi na makeup unataka huyo mwanaume azitoe wapi?
Endelea kuchagua huku ukiendelea kutumika na kuchakazwa, kesho utakuja kusema unataka mwanaume yeyote yule ilimradi tu anapumua. Wakati huo hao wote wanaopumua watakuwa nao wameoa wale wanawake waliokuwa wanajitambua.
Na wakati Mali mpya zippo na hamriziki alo ππππUnakuta hana mvuto wa kimapenzi/mahaba, hana shape/figure nzuri ya kuvutia wanaume, nani atamtaka?