Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Niringe!Na wewe ni mwanamke mkuu?
Niringe!Na wewe ni mwanamke mkuu?
Uringe kuwa mwanamke?Niringe!
Ndio mkuu!Uringe kuwa mwanamke?
Loooh!!!Ndio mkuu!
Vipi mkuu shida nini?Loooh!!!
Ndiyo maana nasema siku zote wasukuma nyie hamna akili na hamjitambui sasa wewe kutamani kuwa mwanamke ndiyo nini?Vipi mkuu shida nini?
Ndio kama hivyo ulivyosema!Ndiyo maana nasema siku zote wasukuma nyie hamna akili na hamjitambui sasa wewe kutamani kuwa mwanamke ndiyo nini?
Nenda kajaribu uvione vya live 🤣🤣🤣🤣Umetuchosha nawewe! Kutwa kujisifia na picha huweki kwendraaa!!
Eti anaogopa!!Nenda kajaribu uvione vya live 🤣🤣🤣🤣
1. Kuzingatia Elimu na Kazi (Career Development),Wanawake wengi sasa wanaweka kipaumbele cha kwanza kumaliza masomo ya juu na kujenga misingi imara ya kazi au biashara kabla ya kufunga ndoa. Utafiti unaonyesha kuwa kutafuta uhuru wa kifedha hupunguza kasi ya kutafuta ndoa mapema.Mwanamke ukifikisha miaka 30 bila dalili za kupata mume ndio utaelewa kwa nini Mama yako alitupilia mbali vigezo vya mwanaume wa ndoto yake na kuolewa au kuzaa na Baba yako licha ya ufupi wake.
Unauliza Mwenyekiti nataka kusema nini?
Wewe uko hapo unasema Mimi mwanaume ili nikubali anioe lazima awe na funguo tatu yaani funguo ya nyumba, funguo ya ofisi na funguo ya gari.
Unataka mwanaume mrefu, mweusi, mwembamba mwenye six pack na mashine ya 5G.
Unataka mwanaume asiyekunywa Pombe, asiyevuta sigara na asiyependa wanawake, halafu awe mweusi, mrefu na awe na pesa na awe mchamungu.
Hivi unajua hizo sifa unazozitaka ni za wanaume 10 tofauti? Unajua hao ni wanaume 10 tofauti?
Halafu unataka sifa walizogawanyiwa wanaume 10 uzipate ndani ya mwanaume 1.
My dear sikufichi utazeeka ukiwa unatumika mtaani.
Kama unafikiri ni rahisi sana mwanaume kuwa na sifa hizo hebu jijenge uwe na sifa hizo.
Kama wewe mwenyewe hadi umri huo hizi funguo tatu huna, kitu pekee unachomiliki ni simu, chupi na makeup unataka huyo mwanaume azitoe wapi?
Endelea kuchagua huku ukiendelea kutumika na kuchakazwa, kesho utakuja kusema unataka mwanaume yeyote yule ilimradi tu anapumua. Wakati huo hao wote wanaopumua watakuwa nao wameoa wale wanawake waliokuwa wanajitambua.
Umesema vyote dada! Kijana alijua labda tunamsubiri yeye🤭1. Kuzingatia Elimu na Kazi (Career Development)
Wanawake wengi sasa wanaweka kipaumbele cha kwanza kumaliza masomo ya juu na kujenga misingi imara ya kazi au biashara kabla ya kufunga ndoa. Utafiti unaonyesha kuwa kutafuta uhuru wa kifedha hupunguza kasi ya kutafuta ndoa mapema.
2. Kusimamia Vigezo (High Standards/Selectivity)
Wanawake wengi waliofikisha umri huu wanakuwa na ukomavu wa akili na ufahamu mpana wa aina ya mwanamume wanayemtaka. Hawawezi kukimbilia ndoa kwa shinikizo la jamii na badala yake wanachagua mshirika anayefaa kwa makini.
3. Hofu ya Ndoa Kuvunjika (Fear of Divorce)
Kutokana na kuongezeka kwa talaka, wengi wanachukua muda mrefu kusoma tabia za wenza wao ili kuepuka ndoa ya muda mfupi. Wanapendelea kuchelewa lakini wapate mtu sahihi, badala ya kuolewa mapema na kuachika.
4. Uhuru na Kujitegemea (Independence)
Wanawake wengi wanaona kuwa na uwezo wa kujihudumia kiuchumi kunawapa uhuru wa kutolazimika kuolewa ili kupata msaada wa kimaisha.
5. Kutokupatikana kwa Wenza Sahihi (Partner Mismatch)
Wakati mwingine, wanawake wanakuwa tayari kuolewa, lakini hawajampata mwanamume anayekidhi matarajio yao au mwanamume ambaye pia yuko tayari kujitolea kuanzisha ndoa.
6. Kubadilika kwa Mitazamo ya Kijamii
Dunia ya sasa inaanza kuacha mtazamo kuwa mwanamke akifika 30 hafai kuolewa, na badala yake kuona ndoa kama jambo la wakati wowote. Wengi wanaamini "kila mtu atachanganikiwa kwa wakati wake