Kweli kiazi kwani wewe unayo andika unaandika kwa mamlaka gani? We kima nini.
Toka kwenye huo ujinga njoo kwenye reality hujakua wewe, ila kwa niliyo yaona hata kuhukumu na kunyoshea watu vidole nimeacha kwani wale nisio wazania na kuwaheshimu vitu walivyokuwa wakifanya sikutegemea. We andika kopi vifungu ila ukweli nilio uandika utabaki palepale.
Halafu kwenye maisha ni rahisi sana kwa yule unaye muona mdhambi akabadilika kuliko yule mdambi aliye tumia koti la dini kuficha madhambi yake hawa ndio wapo wengi sana kwenye nyumba za ibada.
1) Wewe kuniita kima haibadilishi kuwa umepost
uharo.
2) Ujinga uko nao wewe ambaye kila ukiangalia unaona watu wa hovyo! Unaona wanafiki!
Look at yourself!
Ni kwasababu
WEWE ni mtu wa hovyo!
WEWE ni mnafiki!
Kwahiyo sio tu
huoni wasio wa hovyo na wasio wanafiki,
huamini kuwa kuna wasio wa hovyo na wasio wanafiki
kama wewe.
3) Naandika kwa
mamlaka ya MUNGU sio maneno yangu, ndio maana ya mimi kukopi vifungu.
Sio mimi niliyesema shetani na vibaraka wake wanashinda
kushitaki ndugu za Kristo, ni MUNGU.
Sio mimi niliyesema
usichangamane na mtenda dhambi asiyetubu ni MUNGU.
Sio mimi niliyesema
ukiungama MUNGU atakusamehe na
kukusafisha, nI MUNGU.
Sio mimi niliyesema mwenye haki
ataanguka mara saba na
atasimama, ni MUNGU.
Tofauti na wewe na uharo uliopost, yote uliyopost yanaakisi
tamaa zako,
unafiki wako na utu wako wa
hovyo.
4) Sasa mbona
unajipinga mwenyewe. Which is which?
Je "unayemuona mwenye dhambi anaweza kubadilika"?
Au "ushaanza kuonja mkopo wa sukari utautafuta hata kwa siri"? Basically umewahukumu milele.
Which is which?
Narudia wewe kukaa kuona wanafiki wanaoigiza ni kwasababu
you're one of them! !
Siku utakayoacha uchafu na unafiki utawaona wenzio wengi sana.
Wa hovyo na wanafiki
hawatuhusu, hatuna muda wa kuwafuatilia, tena
tunawaepuka.