Wanavyoiongelea hiyo ndoa ni kama vile kuna kitu cha maana unagain ukikipata! Sijui ndio akili zetu zimeishia hapo!
Nimepiga mahesabu: nashindia tambi na mishkaki coz I can, I don't have to prove to anyone that naweza kufungua mgahawa na nitauza!
Ghafla nianze kuhangaika na masufuria just to please somebody's son. Ghafla i have to deal with inlaws. Ghafla i have to deal with someone's moods and bad characters / habits.
The worst ni kuniongezea furushi la kufua, maana machine huna!
Bado kazi ya kufungua miguu, hivi sio nyinyi mnaolia
kunyimwa huko ndoani? ? Ndomana sio waaminifu kwenye hizo ndoa zenu? Sasa kama huko ndoani kwenyewe hampewi mnataka tuingie huko kufanya nini? To tolerate your cheating bums? ?
I got the answer: wanataka hosegirl wa bure wa kutunza nyumba na kulelea watoto, kuwapa
wao status ya
family man, plus kuchangia bills, huku wao wanakula bata na
ma dame kitaa.
Aisee Bro,
Tutaolewa kwasababu
tumempenda huyo Bwana na si vinginevyo.
Na Mwanamume
anayekupenda hawezi kufanya haya mambo wanayofanya hawa
losers kwenye comments.
Anayekupenda atataka kukujua, anakunyanyua, anakupandisha, anakung'arisha, anakubeba, anakuongeza, anakufunika.
Sasa
jitu linakuja linakuona tu kama robot linalopumua halikujui wala haliko interested kukujua, linakuja kukusukuma chini, kukukanyaga, kukuburuza kwenye matope, kukudharaulisha, kukutia aibu, kukushusha thamani,
kukubagaza, kukutinginya, kukuhondomola, kukushuhudia uongo, halafu linataka ulikimbilie ukafugwe nalo maisha ulitumikie, hahaa mna
wazimu.