Mwanamke mwenye miaka 30+ hujaolewa unasubiri nini?

Kolezea hapo STATUS

Sikuhizi ndoa imekua ni ndoto Kwa mtoto wa kike ukiwakuta kwenye vijiwe vyao mtu anavoiongelea iyo ndoa utasema pepo inayoshuka Kwa Mungu πŸ€”
 
Waacheni wanawake waishi wanavyotaka.

Kuolewa si lazima dunia ya leo.

Wanawake wote si sawa. Kuna wengine hawataki kuolewa by choice, na hiyo ni haki yao.

Wengine hata wakiamua kuwa na mwanamme wa vigezo vyao na wasipompata wakakaa bila kuolewa ni sawa, ni haki yao. Hayo ni maisha yao. Unapolazimisha waolewe na mtu ambaye hajafikia vigezo vyao, wewe ndiye utalala na huyo mwanamme? Wewe ndiye unaolewa hapa?

Halafu unajuaje mwanamke anayekaa bila kuolewa anatumika na yeye hawatumii wanaume? Au hawezi kuishi maisha yake kivyake tu bila kutumika wala kuwatumia wanaume?

In any case, why do you care so much mambo ambayo hujaombwa ushauri hapa, ya watu wasiokuhusu, kwenye suala usilolielewa?

Wewe ushawahi kuwa mwanamke ukajua wanawake wanavyojisikia kwenye suala la kuchagua mume?

Hii si unyanyapaa, kutaka kuwa control wanawake na paternalistic mansplaining tu?
 
And they wish to do anything for that shit! Hata madawa, kufunga na kuomba, Ni jasho!!😱
Usinikumbushe na kunichekesha πŸ˜‚πŸ˜‚ Kuna shoga angu alifunga Kwa maombi bila kula kitu siku tatu Ili aolewe nyienyie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wanaume hebu one jaman mambo gan haya πŸ˜„
 
Paragraph ya kwanza ungeibold kabisa mkuu.
 
Usinikumbushe na kunichekesha πŸ˜‚πŸ˜‚ Kuna shoga angu alifunga Kwa maombi bila kula kitu siku tatu Ili aolewe nyienyie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wanaume hebu one jaman mambo gan haya πŸ˜„
Sio kama namdharau lakini that shit is rare! Atakuja mpiga gitaa wa kanisa kukutongoza aseme ni maono! Kama yupo atakuja kama hayupo endelea na maisha mengine bwana! Inakuwa kama mtu hawezi kufanya maisha ana pause kwanza apate mme🫒
 
Kama uko 30+ na si mlevi, hujawahi kuzaa na huna kiburi cha hela utaolewa kirahisi mkuu.

Shida ni wangapi wapo hivyo?
Kadri umri wa mwanamke unavyozidi kuwa mkubwa bila ya kuwa na mume, ndivyo risk ya kupata mwanamme wa ndoto zake inavyozidi kuongezeka.

Hakuna mwanaume smart akachukua mwanamke mwenye 28 na kuendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…