Mwanamke mwenye miaka 30+ hujaolewa unasubiri nini?

Kadri umri wa mwanamke unavyozidi kuwa mkubwa bila ya kuwa na mume, ndivyo risk ya kupata mwanamme wa ndoto zake inavyozidi kuongezeka.

Hakuna mwanaume smart akachukua mwanamke mwenye 28 na kuendelea.
Kumbe hawa wanaooa kila jmos ni wendawazimu na hamtwambii😧
 
Kwa hio kaongea pumba sio?
Sema tunachokosea sisi Wana wa adamu ni kuwa washauri wa maisha na mtindo ya maisha ya wengine bila kuzingatia kila mtu ana njia yake ya kufika anakutarajia kufika
 
Sio kama namdharau lakini that shit is rare! Atakuja mpiga gitaa wa kanisa kukutongoza aseme ni maono! Kama yupo atakuja kama hayupo endelea na maisha mengine bwana! Inakuwa kama mtu hawezi kufanya maisha ana pause kwanza apate mme🫒
Mbona alipata mwimba kwaya mwenzake πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Ila alinifunza kitu omba Kwa Imani na shida zako zinajibiwa
 
Kwa hio kaongea pumba sio?
Sema tunachokosea sisi Wana wa adamu ni kuwa washauri wa maisha na mtindo ya maisha ya wengine
Huo ni mtazamo wake! Lakini kupangia watu ikifika muda fulani olewa!! Hii formula ya wapi? Nani kasema anataka kuolewa? Hajui kila mtu ana njia zake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…