Mwanamke mwenye miaka 30+ hujaolewa unasubiri nini?

I was expecting this comment from you Seran 😅
 
wanangoja Mr right, umri hauwezi kutumika kipimo cha utayari peke yake wa kuolewa bali ukomavu utafanya, wanawake wawe na stress kukimbizana na umri,ndiyo hizi ndoa zinazo kuwa na matatizo mengi kwasababu wanaona ni bora kuolewa umri umeenda,
Na hio inakuja kuwa changamoto kubwa sana kwenye maisha yao, nafikiri kwenye haya maisha kila kitu hakiwezi kuwa na mfanano na kuja on perfect time ikiwa na mganano na mwingine.
 
Kongole Sana Fake P kwa hii comment.It's on point
 
bahati mbaya sana hawa wanaojitunza huwa wanakuja kutana na fisi wababaifu wanaishia kujutia tu maisha yao yote
 
bahati mbaya sana hawa wanaojitunza huwa wanakuja kutana na fisi wababaifu wanaishia kujutia tu maisha yao yote
Ndiomaana nasema hakuna mtu anayejua formula ya haya mambo! Anakuja kuochomoa na kukuweka ndani ulee watoto, analala bar na pisi kali! Kwahiyo hii ndio ndoa nikae nasotea miaka buku🫴🏾
 
Duh! Aisee🤔
 
Lamomy hivi ni nani aliyekukamulia ndimu naona umechachuka kweli kweli 😅
 
umejipanga vyema na reference mkononi nani atakushinda well done 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…