Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Makucha ya bandia, mawig na makorokoro mengine mnajipamba na kujiremba ni takataka tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe pesa afanye kitu atakachojisikia wengine ni wabaya wanajificha kwenye kivuli cha natural ni vile hawana pesa
Sio vizuri kusema mdada fulani ni mbaya kwasababu ya sura yake
Ila kwako ni vizuri kusema mwanaume fulani dume suruali kwasababu ya uchumi wake??Sio vizuri kusema mdada fulani ni mbaya kwasababu ya sura yake
Wanawake wengi tu wazuri.. Ila mkuu hiyo picha ni ya dada yangu umeitoa wapi mkuu
Wanajiharibu sana halafu wanaume hatuna habari na hizo mambo za mikorogo wanadhani wanatuvutia kumbe sio kweliSiku hizi kuna mikorogo wanakuwa weupe Kama karatasi hawajui ambavyo wameharibikia
Wabongo mwanamke mweusi akivaa local akapiga picha sehemu local tiali unaina natural, natural sijui wife materials.
Sijaona uzuri hapo ukweli alafu kuweka lope, kucha ni urembo sio suala la uzuri.
Wana wanaume sana tuWanajiharibu sana halafu wanaume hatuna habari na hizo mambo za mikorogo wanadhani wanatuvutia kumbe sio kweli
NaamWabongo mwanamke mweusi akivaa local akapiga picha sehemu local tiali unaina natural, natural sijui wife materials.
Sijaona uzuri hapo ukweli alafu kuweka lope, kucha ni urembo sio suala la uzuri.
🤣🤣🤣Nimesinzia zangu kwenye daladala,ile nashtuka naona mikucha imenishika,nilipiga kelele
Kumbe kuna mdada amesimama akanishika bega
Wanaume ni wa woteWana wanaume sana tu