Mwanamke mzuri ni yupi?

Mwanamke mzuri ni yupi?

Una mkumbuka huyu🤣😂😂 mshamba_hachekwi na Poor Brain
FB_IMG_16860196830983857.jpg
 
Ni yule asiyekupiga mizinga na haji kwa wakati pale unapomhitaji au ni bora yule anayekupiga mizinga na anakuja kwa wakati pale unapomhitaji?

Nikimaanisha huyu anakuja kwa wakati akijua kuna hela atachukua, na yule mwingine anakuambia ana mapenzi na wewe ya dhati na ahitaji hela zako, lakini haji kwa wakati pale unapomhitaji.

Hii imetupelekea badhi ya wanaume tukijiandaa kwa shoo, tukijua wapenzi wetu wanakuja, mwisho wa siku hawatokei na kutusababishia maumivu ya mioyo yetu.

Wakuu, mwanamke mzuri ni yupi?
mwanake mzuri ni yule ambae wakati wa tendo hanuki mavi, hanuki mdomo na wala papuchi haitoi harufu kama Feri. Sifa nyingine ni porojo tu.
 
Back
Top Bottom