Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Yule mama aliyesema ametengana na mme wake na kwamba anakosa pesa ya kula imebainika ni bosheni ya mzee baba kutafuta kick.
Kwanza hawa wafu siyo wenyeji wa kanda ya ziwa, lakini pia yule mwanamke na mwanaume inasemekana walikuwa na usafiri wao kwenye mkutano ila mwanamke akawa anajidai hana pesa ya kula.
Lakini pia ukisikiliza ile clip na kumwangalia mwonekano wa yule mwanamke utabaini ni familia bora na lengo la ile move nikuvuta attention ya watu.
Kwa upande mwingine hata watoto wadogo wanapewa mic wanakuwa tayari wamepangwa. Michezo hii unajiuliza ina manufaa gani kwa Taifa? Tuendelee na sarakasi hizi zisizoleta umeme, maji wala kujenga barabara?
Lakini pia taarifa za msafara wake zinadai amekuja na mbinu baada ya kuona hakuna mwitikio kwenye mikutano ya pangani kuelekea Singida.
Je, kwa drama hizi kwanini mtu smart kama Bashe asikatae kupelekwa kama mzigo? Toka Bashe ameshtukia huu mchezo simu kwenda kwa Mawaziri unazisikia tena?
Nchi haiwezi kuendelea kwa drama......njo na sera za kuinua wanyonge siyo kugawa laki mbili sijui tano mara milioni. Dunia inahitaji brains zakupambana na Micro na Macro economy