Mwanamke na mwanaume waliosimamishwa kwenye mkutano na Makonda siyo wanandoa na wala hakuna anayewafahamu. Walitokea wapi?

Wewe mwana chuki wa Chadema acha ujuha wako weakening matako chalice. Pumzishe nyongo.
Wewe na wapumbavu wenzako mmepata au mnao ushahidi gani wa kuthibitisha ilhali watu wa kakonko wenyewe wanamjua Bwire pamoja na huyo mke wake?
Pumbavu wakubwa nyie!
 
Naona vijana wa Bashe wamekuja kimshambulia Ndg yetu Paulo

Salama Mzee huko shamba
 
Unataka tujadili case za mwamposa/ccm n bashite? Stay away
 
Mtu asiye na hela ya kula anaonekana hata kwa muonekano, je kwenye huo mikutano wa maigizo huyo mama muonekano wake ni wa kukosa chakula? Je ni kweli Bado Makonda anawapigia simu mawaziri au kero zimeisha? Je huko kigoma kero ya umeme imeisha Hadi Makonda aone kero kubwa iliyobaki ni ndoa ya huyo meneja wa Tanesco?
 
Haya mambo hayana tofauti na wakati wa mlipuko wa habari za Babu wa Loliondo na kikombe chake!
Misafara ya magari kwenda kupata tiba ilikuwa inafikia kilometa kadhaa na watu walikuja kushtuka utapeli huo wengi wakiwa wamejifia.
Na utapeli ule ulikuwa unagharamiwa kwa mkono wa serikali hasa kupotezea maandamano ya Chadema ambayo yalitangazwa nchi nzima na yalipoanza Mwanza yalionyesha mafanikio makubwa, enzi hizo Slaa akiwa moto hasa.
Kwa hiyo Makonda ni Babu wa Loliondo wa kizazi kipya. Tapeli.

View: https://youtu.be/llbCzteGM7Y?si=rzMWFzjvsADiM6ba
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Haya mambo hayana tofauti na wakati wa mlipuko wa habari za Babu wa Loliondo na kikombe chake!
Misafara ya magari kwenda kupata tiba ilikuwa inafikia kilometa kadhaa na watu walikuja kushtuka utapeli huo wengi wakiwa wamejifia.
Na utapeli ule ulikuwa unagharamiwa kwa mkono wa serikali hasa kupotezea maandamano ya Chadema ambayo yalitangazwa nchi nzima na yalipoanza Mwanza yalionyesha mafanikio makubwa, enzi hizo Slaa akiwa moto hasa.
Kwa hiyo Makonda ni Babu wa Loliondo wa kizazi kipya,Tapeli.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hizo pesa anazogawa huwa mikononi salama kwani hurudishwa na kugawiwa wengine tena na tena.
 
Walishajua watanzania wanapenda sana soga na mambo ya kushambuliana majukwaani ndiyo maana wamekuja na drama
 
Kama watu wanapenda drama, wape wanachotaka ili uvune kukubalika, kura, endelea kula supu, nyama utazikuta chini post 2025!.
P
 
Umechelewa kujua hilo.shida ya Makonda ni maigizo mepesi mepesi sana hata watoto wanagundua Hadaa zake.
 
Itoshe kusema tu ya kwamba wewe famba..punguani usiokuwa na mbele wala nyuma. Wewe unawajua wale watu? Wao wamesema wametengana..wewe unasema sio kweli..baasi tuambie unachojua huku jf.
Acheni maigizo mtaumbuka tu.
 
Hizo pesa anazogawa huwa mikononi salama kwani hurudishwa na kugawiwa wengine tena na tena.
No hizi sio kama zile za tunza za mashosti na mashostito wao kwenye kitchen parties!, hizi ni fedha za kweli zikitoka zimetoka.
P
 
Watanzania wanalalamika
CCM inalalamika

Gundu ni kikimba sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…