Mwanamke na mwanaume waliosimamishwa kwenye mkutano na Makonda siyo wanandoa na wala hakuna anayewafahamu. Walitokea wapi?

CCM wameoza, u bongo, nchi imewashinda, kilichobaki ni drama za, kipuuzi tu, ukitaka, kuwatawala, watu l, wanyime elimu, huduma za, afya, na, uchumi, fedha mifukoni,
Hapo watabaki, kama, mazombi!! Makonda ni, wa, kupigwa mawe,sio sasa hv anaonekana kama mkombozi!Anawakilisha, mfumo wa, kishenzi, wa, CCM, bei ya, sukari haitatuliwi kwenye jukwaa na kilaza,aliyefeli kidato cha nne,
Wananchi, wanahitaji huduma Bora za, afya, sheria, kilimo Bora, sio, upuuzi, wa, kupangia watu bei mazao, Yao!
 
Chadomo mna brain zipi? Mna hata sera nyie au kutwa kucha ni kulalamika Katiba Mpya?

Acheni kufikiria Kwa kutumia miguu
 
Huu uzi umeonyesha wewe ni utoko halisi wa inner core
 
Siyo Siri unampenda sana Makonda!! Kama huna mume sema tukuunganishe naye
 
Mkuu una umri wa miaka mingapi? maana uko kama uliwahi ishi TV ikiwa kwa Sheikh Yahaya
 
Mkuu! Watanzania tuna changamoto nyingi za kimaisha, pale Mtu anapohisi Mtu fulani anaweza kuwa mtatuzi wa changamoto zake ni lazima ataenda tu.
Mkuu mtu ambaye mpaka nchi nyingine kapigwa ban kwenda sababu ya kuua Watanzania then wewe unamwona kuwa anaweza maliza changamoto zako, sasa hapo huoni kama tatizo ni wewe binafsi. Hata kama uko na changamoto kiasi gani usikubali kujitoa ufahami
 
Basi wewe ndo mke wa manager hongera mkuuu
 
Mkuu mtu ambaye mpaka nchi nyingine kapigwa ban kwenda sababu ya kuua Watanzania then wewe unamwona kuwa anaweza maliza changamoto zako, sasa hapo huoni kama tatizo ni wewe binafsi. Hata kama uko na changamoto kiasi gani usikubali kujitoa ufahami
Hakuna Mtu ambaye yupo juu ya Sheria hata kuua Watu na asichukuliwe hatua za kisheria, nafikiri hizo ni tuhuma tu ambazo hazijathibitika ili kumtia Mtu hatiani.

Hata hivyo Mtu huyu licha ya hizo tuhuma lakini bado anasaidia Watu na ndiyo maana unaona anapata Watu wengi katika Mikutano yake anayofanya sehemu mbalimbali hapa Nchini.
 
Vyovyote ilivyokuwa na itavyokuwa, tabu, shida, umasikini, ufukara na mahangaiko yote wanayopitia Watanzania chanzo ni CCM...

CCM wanataka kupata umaarufu kupitia shida za Watanzania wakati wao CCM kwa miaka 50+ wamewafikisha Watanzania hapa walipo sasa...

Matatizo wameyatengeneza wenyewe, utatuzi wanataka wafanye wenyewe ili mwisho washangiliwe...

 
CCM ni zaidi ya shetani
 
Yaani wewe ni pumbavu kabisa!
 
Hata kurudi kwake ni drama imagine Kuna muda alikuwa haonekani
 
Duh aisee, so unataka kusema Marekani wanamtuhumu tu na siyo kweli? Ama kweli wajinga duniani ni wengi kuliko werevu
 
Mumeanza kupata hofu. Hila dhidi ya watetezi wa haki ndio ziliwapeleka hadi watuhumiwa wa ufisadi wa sabaya mkawafanya shahidi dhidi yake mahakamani. Mwisho ya yote mkaangukia pua mahakama ya rufaa. Msitake ionekana mikutano ya makonda ni sawa na hawa manabii wenye kupanga matokeo ili kuzuga wananchi wanyonge na kuwararua kuwaibia. Amini msiamini makonda anafumua na kuweka wazi ufisadi na mafisadi ili hatua zinazostahili zichuliwe. Huyo bashe asikimbie kivuli chake. Nguvu ya makonda ni kutetea haki inayodhulumiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…