Mwanamke ni chanzo cha anguko la mwanaume

Adamu alitoka kwa mungu
Alikuwa ni mfano halisi wa Mungu
Hakuwa na udhaifu ila alianguka kupitia mwanamke.

Mwanamke ni kiumbe kilichopo karibu na shetano kuliko mapepo yenyewe
Hata wewe umeumbwa kwa mfano wa Mungu

Adamu alionyesha udhaifu kwa kumsikiliza mkewe kwa kufanya kitu ambacho tayari Mungu alishamkataza

Tena Adamu ni dhaifu sana yeye alikuwa perfect before to sin lakini akashindwa tofauti na Yosefu alishinda kishawishi ijapokuwa alikuwa imperfect kama sisi

Mwanamke hayupo karibu na Shetani, kauli ya hovyo kabisa hii, tuonyeshe andiko kuwa mwanamke yuko karibu na Shetani.
 
Na hapo kwenye kumsikiza na kuweka kichwa chako likizo ndio kumeangusha wengi na wengine wakawa mandondocha, na wengine wakaharibu familia, na maisha yao.
 
Sasa bora umesema nwenyewe ulikuwa na ndoto kubwa. Kwa Taarifa yako nionavyo hapa iyo kampuni ingekuwa moja ya zile kubwa na walipa kodi wakubwa

Pia ingeendelea sana sana sana sasa huyo wakala sijui alitokea wap.
Ukiangalia kwa haraka utaona ni mapito lakini ulioneshwa ule side iliyo kivuli ambayo ungeifikia ungelaani sana. Ila Ndio Ivyo yote yalipangwa.
 
Wewe ni mimi mtupu[emoji27]
 
Kwa nini ulimkimbia ilhali ushamtia na ujauzito?

Mie sijaona kama alikua gush huyo mdada.
Ni kweli hujaona sababu ya kwa nini aliamua kusepa... Na hii ni kwa sababu jamaa hajaamua kufunguka zaidi yaliyokuwa ndani yake... Ila ninachoamini kila binadamu ni mvumilivu na tunajitahidi sana kuvumiliana, sasa kuna ile hali moyo umechoka kabisa kuvumilia, AISEE USIOMBE IKUKUTE HII HALI MAANA MAAMUZI YEYOTE MBELE YAKO YA KUUNUSURU MOYO ULIOCHOKA HUWA NI HALALI
 
Tuweni makini wazee wanawake waovu wapo kweli(mawakala wa shetani)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…