Mwanamke ni chanzo cha anguko la mwanaume

Mwanamke ni chanzo cha anguko la mwanaume

Adamu alitoka kwa mungu
Alikuwa ni mfano halisi wa Mungu
Hakuwa na udhaifu ila alianguka kupitia mwanamke.

Mwanamke ni kiumbe kilichopo karibu na shetano kuliko mapepo yenyewe
Hata wewe umeumbwa kwa mfano wa Mungu

Adamu alionyesha udhaifu kwa kumsikiliza mkewe kwa kufanya kitu ambacho tayari Mungu alishamkataza

Tena Adamu ni dhaifu sana yeye alikuwa perfect before to sin lakini akashindwa tofauti na Yosefu alishinda kishawishi ijapokuwa alikuwa imperfect kama sisi

Mwanamke hayupo karibu na Shetani, kauli ya hovyo kabisa hii, tuonyeshe andiko kuwa mwanamke yuko karibu na Shetani.
 
Wote hawa hawajaangushwa na wanawake ni wao wenyewe walichangia anguko lao

Adamu alipaswa kumwongoza mke ila yeye akamsikiliza Hawa yalipowakuta ya kuwakuta akabaki kumlaumu Mungu.

Samsoni alikuwa mnadhiri hivyo hakupaswa kabisa kujihusisha na wanawake

Daudi alianza na tamaa, kumpiga jicho mke wa mtu akiwa anaoga mwisho wa siku akamla akamtia mimba
Na hapo kwenye kumsikiza na kuweka kichwa chako likizo ndio kumeangusha wengi na wengine wakawa mandondocha, na wengine wakaharibu familia, na maisha yao.
 
Nakumbuka nivyokua na kazi ya maana tu. Mara kazini tukaajiri wafanyakazi wapya upande wa production.
Jicho lilitua kwa mmojawapo mdada mweusi hivii. (Mistake).
Nikamwimbisha hakubisha tukaanza kua wapenzi. Akilini nilijua na pass time tu kwanza Nina safari ndefu ya kuzifikia ndoto zangu. Ikiwamo kurudi shule na kufanya masters.
Bwanawee hali haikua hivyo. Mdada alijiongeza alihamisha nguo kidogo kidogo kutahamaki kabati limejaa nguo zake na ndio kashahamia.
Anapika ubwabwa mtamu mpaka unaona maisha si ndio haya.
Akajiongeza na mimba juu akashika. Mzee baba nikaona halaaa yaani kifupi nishaoa.
Akili ikakataa siezi oa kizembe hivi.
Nitajingamuaje sasa?
Kazini alishapata ma human rights wakaanza niendesha. Boss kamtia mimba naniliu afu ataki kumuoa.
Aibu kila nikienda job nikiona kitumbo mchongoko chake naishiwa pozi.
Nikaisakrifaisi kazi yangu niliyoipenda na kwenda kutafuta kazi nyingine.
Sasa bora umesema nwenyewe ulikuwa na ndoto kubwa. Kwa Taarifa yako nionavyo hapa iyo kampuni ingekuwa moja ya zile kubwa na walipa kodi wakubwa

Pia ingeendelea sana sana sana sasa huyo wakala sijui alitokea wap.
Ukiangalia kwa haraka utaona ni mapito lakini ulioneshwa ule side iliyo kivuli ambayo ungeifikia ungelaani sana. Ila Ndio Ivyo yote yalipangwa.
 
Nakumbuka nivyokua na kazi ya maana tu. Mara kazini tukaajiri wafanyakazi wapya upande wa production.
Jicho lilitua kwa mmojawapo mdada mweusi hivii. (Mistake).
Nikamwimbisha hakubisha tukaanza kua wapenzi. Akilini nilijua na pass time tu kwanza Nina safari ndefu ya kuzifikia ndoto zangu. Ikiwamo kurudi shule na kufanya masters.
Bwanawee hali haikua hivyo. Mdada alijiongeza alihamisha nguo kidogo kidogo kutahamaki kabati limejaa nguo zake na ndio kashahamia.
Anapika ubwabwa mtamu mpaka unaona maisha si ndio haya.
Akajiongeza na mimba juu akashika. Mzee baba nikaona halaaa yaani kifupi nishaoa.
Akili ikakataa siezi oa kizembe hivi.
Nitajingamuaje sasa?
Kazini alishapata ma human rights wakaanza niendesha. Boss kamtia mimba naniliu afu ataki kumuoa.
Aibu kila nikienda job nikiona kitumbo mchongoko chake naishiwa pozi.
Nikaisakrifaisi kazi yangu niliyoipenda na kwenda kutafuta kazi nyingine.
Wewe ni mimi mtupu[emoji27]
 
Kwa nini ulimkimbia ilhali ushamtia na ujauzito?

Mie sijaona kama alikua gush huyo mdada.
Ni kweli hujaona sababu ya kwa nini aliamua kusepa... Na hii ni kwa sababu jamaa hajaamua kufunguka zaidi yaliyokuwa ndani yake... Ila ninachoamini kila binadamu ni mvumilivu na tunajitahidi sana kuvumiliana, sasa kuna ile hali moyo umechoka kabisa kuvumilia, AISEE USIOMBE IKUKUTE HII HALI MAANA MAAMUZI YEYOTE MBELE YAKO YA KUUNUSURU MOYO ULIOCHOKA HUWA NI HALALI
 
Tuweni makini wazee wanawake waovu wapo kweli(mawakala wa shetani)
 
Back
Top Bottom