Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Wanawake wana akili zaidi ya tunavyowadhania, sema tuu hujifanya kama hawana akili, haswa akiwa karibu na mtu anayempenda na anayemwamini.
Huwa wanajizima data na kujifanya hawana akili au mambo flani hawaelewi, hii wanafanya kwa makusudi kabisa na wanajua wanachokifanya, sio bahati mbaya.
Wanajua nature ya wanaume, kwaio anajua kabisa akijifanya hana akili au mgumu kuelewa, wewe mwanaume utaishia kumfanyia mambo yake au kumsaidia ili asitumie nguvu nyingi.
Huwaga hujiulizi, kwann wanawake wakiwa wenyew au wasipokuwa na mwanaume karibu yao huwaga wapo makini sana na wanakuwa very efficient kufanya mambo yao, ila wakishaona kuna dume lipo pembeni wanajizima data.
Mwanamke anajua vizur kabisa kwamba akijifanya hana akili au hajui lolote mbele ya mwanaume itamsaidia yeye kwa kiwango kikubwa na ndio maana wanafanya hivi.
Ushawahi kujiuliza kwann ukitembea na mpenzi au mke wako huwa wanatembea kama vipofu? Yaan hata jiwe lililopo mbele yake halioni hadi umvute umwambie utajikwaa mama tembea vizur, bac mwenzako pale ndo ana-enjoy anaona anapendwa.