Mwanamke ni mtu mwenye akili zaidi ya tunavyodhani

Mwanamke ni mtu mwenye akili zaidi ya tunavyodhani

Wanawake wenye akili wepi hao unaowazungumzia?

Hawahawa wanaobandika kucha bandia?

Au hawa wanaonyoa nyusi original halafu wanaweka za kubandika?

Kama sijakuelewa viiilee
 
You're very wrong.

Nikwambie kitu broo, mwanamke anakusoma haraka sana kabla hata hujafikisha maneno 100 ashakujua wewe ni mwanaume wa aina gani, huo ujasiri unao-onyesha mbele yake ni fake au we ni jasiri kweli, anajua kabisa huyu ananitaka sema anazunguka tuu, yaan hayo mambo anayajua mapema sana, kwaio unapoenda kumtongoza tayar alikuwa anajua ulikuwa unamtaka na tayari ana jibu lake, sema anakuchora tuu na kukupima confidence yako.

Which is very different to men, ambao hadi tuonyeshewe ishara nyingi na mwanamke mwenyew, ukiona hadi unahisi mwanamke anakupenda ujue ni yeye mwenyew kaamua kukuoneshea ishara, otherwise huwez jua.

Another thing is ni rahic sana kwa mwanamke kumtongoza mwanaume na kumpata, sisi wenyew tunajijua broo, mfano siku ya leo hii wewe na mwanamke mshindane nani atakuwa wa kwanza kupata mtu wa kulala nae apart from wapenzi wenu, we unadhani nani itakuwa kwake rahic??
Swala la kuweza kumsoma mtu kama anakupenda ni rahisi sana. Kwa wanaume pia hua inakuaga rahisi sana kumsoma mwanamke anaekupenda ila hajakwambia, labda tu usipay atention. Hata asipo kuonyesha, ila kuna ishara tu utazisoma, kuanzia namna anavyokuangalia.

Mwanaume akitongozwa na mwanamke asie mtaka hua ni ngum sana kukubali. Tofauti na pale mwanamke akitongozwa na mwanaume asiemtaka, mara nyingi linakuaga swala la muda tu ila wanalainikaga mwishoni
 
Hayo ni mawazo yako tu Mkuu! Kama uko kwenye mahusiano na mwanamke ambaye hujamwoa kwa nini asitumie akili kukudanganya ili uendelee kumhudumia?
Kama ni mkeo anakudanganyaje wakati ulicho nacho ni chake?
Mwanamke atakushinda akili kama hujitambui!
 
Kumekuchaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akilii ganii hizo

Za maisha
Za darasani
Za kimahusiano
Za kupretend
Za vizingaa
Za kudangaa
Za kuonewa hurumaa

Nii zipo hizoo
 
Pia ni Wajinga wajinga,..kama umesoma kitabu cha kiyosaki rich dad,kuna chapter inaitwa ARE WOMAN THE WEAKER SEX?? Kaeleza japo sio sana tofauti zetu,hapo ndio nikapata mwanga wa kudig deeper tangu eden hadi hapa,..now tujiulize je wanawake ni Jinsia dhaifu??
ngoja nikitafute jamaa naupenda uandishi wake
 
Wanawake wana akili zaidi ya tunavyowadhania, sema tuu hujifanya kama hawana akili, haswa akiwa karibu na mtu anayempenda na anayemwamini.

Huwa wanajizima data na kujifanya hawana akili au mambo flani hawaelewi, hii wanafanya kwa makusudi kabisa na wanajua wanachokifanya, sio bahati mbaya.

Wanajua nature ya wanaume, kwaio anajua kabisa akijifanya hana akili au mgumu kuelewa, wewe mwanaume utaishia kumfanyia mambo yake au kumsaidia ili asitumie nguvu nyingi.

Huwaga hujiulizi, kwann wanawake wakiwa wenyew au wasipokuwa na mwanaume karibu yao huwaga wapo makini sana na wanakuwa very efficient kufanya mambo yao, ila wakishaona kuna dume lipo pembeni wanajizima data.

Mwanamke anajua vizur kabisa kwamba akijifanya hana akili au hajui lolote mbele ya mwanaume itamsaidia yeye kwa kiwango kikubwa na ndio maana wanafanya hivi.

Ushawahi kujiuliza kwann ukitembea na mpenzi au mke wako huwa wanatembea kama vipofu? Yaan hata jiwe lililopo mbele yake halioni hadi umvute umwambie utajikwaa mama tembea vizur, bac mwenzako pale ndo ana-enjoy anaona anapendwa.
Kwa Hiyo uliyoyaekeza ndo yamefanya uone Wanawake Wana Akili..!?
 
Ukitaka kujua hili mpe gari aendeshe halafu pita naye njia yenye mashimo,utashangaa anayaingia kama hayaoni,dereva yeye lakini anataka atumie akili yako kumuangalizia mashimo barabarani...
 
nachokijua mimi mwanamke ni kiumbe mshenzi mwenyetamaa na alojaa ubinafsi anajiangalia yeye tu na nikiumbe anaedanganyika kirahisi sana
 
Back
Top Bottom