Mwanamke ni mtu mwenye akili zaidi ya tunavyodhani

Wanawake wenye akili wepi hao unaowazungumzia?

Hawahawa wanaobandika kucha bandia?

Au hawa wanaonyoa nyusi original halafu wanaweka za kubandika?

Kama sijakuelewa viiilee
 
Swala la kuweza kumsoma mtu kama anakupenda ni rahisi sana. Kwa wanaume pia hua inakuaga rahisi sana kumsoma mwanamke anaekupenda ila hajakwambia, labda tu usipay atention. Hata asipo kuonyesha, ila kuna ishara tu utazisoma, kuanzia namna anavyokuangalia.

Mwanaume akitongozwa na mwanamke asie mtaka hua ni ngum sana kukubali. Tofauti na pale mwanamke akitongozwa na mwanaume asiemtaka, mara nyingi linakuaga swala la muda tu ila wanalainikaga mwishoni
 
Hayo ni mawazo yako tu Mkuu! Kama uko kwenye mahusiano na mwanamke ambaye hujamwoa kwa nini asitumie akili kukudanganya ili uendelee kumhudumia?
Kama ni mkeo anakudanganyaje wakati ulicho nacho ni chake?
Mwanamke atakushinda akili kama hujitambui!
 
Kumekuchaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akilii ganii hizo

Za maisha
Za darasani
Za kimahusiano
Za kupretend
Za vizingaa
Za kudangaa
Za kuonewa hurumaa

Nii zipo hizoo
 
ngoja nikitafute jamaa naupenda uandishi wake
 
Kwa Hiyo uliyoyaekeza ndo yamefanya uone Wanawake Wana Akili..!?
 
Ukitaka kujua hili mpe gari aendeshe halafu pita naye njia yenye mashimo,utashangaa anayaingia kama hayaoni,dereva yeye lakini anataka atumie akili yako kumuangalizia mashimo barabarani...
 
nachokijua mimi mwanamke ni kiumbe mshenzi mwenyetamaa na alojaa ubinafsi anajiangalia yeye tu na nikiumbe anaedanganyika kirahisi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…