Mwanamke niliempata mara hii ni kiboko!

Sina gundu mkuu..
Ila ni vile nataka mshangazi wa dasalam mkuu huku naona nishapazoea wengi wanakua bize sasa si unajua harakati za serikal zishaanza
kuwa na mshangazi alafu wewe mwanaume ndo unayemuhudumia, huyo hana sifa na mshangazi.
ni MCHEPUKO
 
kuwa na mshangazi alafu wewe mwanaume ndo unayemuhudumia, huyo hana sifa na mshangazi.
ni MCHEPUKO
😂😂😂😂😂😂😂😂 Ujanielewa na hatuwezi elewana...
Mpaka uwe kwenye bloodline ya mashangazi mkuu
 
Hongera
 
mimi nikadhani mishangazi mnaifuata kwa ajili ya kutafuta unafuu wa maisha na kupwepa mizinga?
Sasa unazani kuna lingine zaidi ya hilo mkuu...
Japo wengine ishakua kama pigment kwenye blood kupenda hao watu
 
Sasa unazani kuna lingine zaidi ya hilo mkuu...
Japo wengine ishakua kama pigment kwenye blood kupenda hao watu
ok nmekuelewa, mazoea yanaathiri saikolojia.
mimi rika lolote naruka nalo, hao mashangazi ndo wamekuwa warahisi mno kuwapata japo kiuchumi wako chini kwangu.
 
Aisee
 
ok nmekuelewa, mazoea yanaathiri saikolojia.
mimi rika lolote naruka nalo, hao mashangazi ndo wamekuwa warahisi mno kuwapata japo kiuchumi wako chini kwangu.
Ety rika lote.....
Mi sikanyagi rika langu sijui kwa nini yaani nimekua addicted sana na hawa single mom na mashangazi sana sana.

Na ilivyo bana Mungu anakupa unachostahili na sio unachokitaka
 
Ety rika lote.....
Mi sikanyagi rika langu sijui kwa nini yaani nimekua addicted sana na hawa single mom na mashangazi sana sana.

Na ilivyo bana Mungu anakupa unachostahili na sio unachokitaka
sasa hiyo jamii ya single mom na mishangazi si ndo imejaa sana uku mitaani?

ni wewe mwenyewe kuamua kujichagulia unataka wa namna gani.

Tahadhari: ukiwa kama kijana yanapoteza muda na kulemaza akili, utashangaa unagonga 4th flow huna mtoto, nyumba hata bank acc. haifiki 100k.
 
Nipo smart kichwani naelewa..
Ni akili tui japo kuacha hivi vitu kwa sasa ngumu mnoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…