Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau kulikomoa likupe pesa utoboe!Weekend tulienda kupata mbili tatu tukawa nzwii,sasa akishalewa yeye si kama wale wengine ati zinashukia chini!.
yeye akilewa ni amapiano Tu!.
atafungua muziki na anataka mcheze mapiano! sasa mimi nakucheza amapiano wapi na wapi!, mshangazi wa watu anacheza mpaka na ile style ya kuchezesha macho!!.
ye anajua mi najua lakini wapi narukaruka tu nisionekane hamna kitu,hii inakuwa ni changamoto sana kwangu!.. hichi kizazi si wakubwa si wadogo wamevurugwa!.
nilichoamua ni kwenda nae jino kwa jino komamanga wa watu najinoa nami nijue kucheza hizo amapiano nisionekane zwazwa!
Hihi hii mkuuTanzania hii hii?
Umeolewaaaa!! Haya nivuruge nione. Lolcoca tuheshimiane... nitakuvuruga sasahivi
Hatupimi mpaka tukondemlipima kwanza maradhi kama genital warts, HPV, hepatitis, yellow fever, HIV n.k??
ChuchuchuchuWeekend tulienda kupata mbili tatu tukawa nzwii,sasa akishalewa yeye si kama wale wengine ati zinashukia chini!. Yeye akilewa ni amapiano Tu!.
Atafungua muziki na anataka mcheze mapiano! sasa mimi nakucheza amapiano wapi na wapi!, mshangazi wa watu anacheza mpaka na ile style ya kuchezesha macho!!.
Ye anajua mi najua lakini wapi narukaruka tu nisionekane hamna kitu,hii inakuwa ni changamoto sana kwangu!.. hichi kizazi si wakubwa si wadogo wamevurugwa!
Nilichoamua ni kwenda nae jino kwa jino komamanga wa watu najinoa nami nijue kucheza hizo amapiano nisionekane zwazwa!