Mwanamke niliyemsaidia na kumpenda ametoroka na mtoto wangu

Mwanamke niliyemsaidia na kumpenda ametoroka na mtoto wangu

ibra87

alikwambia sababu ya yeye kuwa eneo hilo ulilomkuta huo usiku uliomuona mara ya kwanza?
 
Last edited by a moderator:
una picha yoyote ya huyo mama watoto wako? unamfahamu rafiki yake yeyote?
 
lakini kwa kifupi ni mtoto wako amepewa baba mwingine,inaelekea ni mpango kati ya mme wake na yy
 
alikwambia sababu ya yeye kuwa eneo hilo ulilomkuta huo usiku uliomuona mara ya kwanza?

Alinambia Kuwa Amefukuzwa Kwao Lakini Akaonyesha Kuchukizwa na Maswali Yangu... Lakini Alinambia Anaishi Africana Mbezi
 
Mtoto hajawahi kupotea kwao....just relax mtoto atakutafuta mwenyew as long as ni damu yako
 
Umejuaje kama binti alikuzalia wewe? Kama alikuwa anatafuta mtoto inawezekana haukuwa peke yako...

Stuka!!!
Ila kuna watu wana courage, wewe unamkuta tu mtu sehemu usiku kama huo; Humjui, hakujui, unamkokota mpaka home halafu unafanza nae mambo. Kweli watu tunatofautiana!.
 
Duh, umeishi na ,tu n then humjui ndugu yake hata mmoja??
 
Walah kuna binadamu ni majasir balaa! ! Umekutana na bint hujui kwao hujui ndugu zake unaenda ishi naye. ..akipatwa na janga ungesema nini?
 
lakini kwa kifupi ni mtoto wako amepewa baba mwingine,inaelekea ni mpango kati ya mme wake na yy

hilo Ndilo Linaloniumiza Kwa kuwa Wazazi Wangu Wanamuhitaji Mtoto Kwa Kuwa Alipozaliwa Walimuona na Walitoa Huduma Ya Uzazi
 
Walah kuna binadamu ni majasir balaa! ! Umekutana na bint hujui kwao hujui ndugu zake unaenda ishi naye. ..akipatwa na janga ungesema nini?

mkuu Ingawa Nilikuwa Natenda Dhambi Lakini Kila Siku Nilikuwa Nikimkabizi Mungu Maisha Yetu na Hilo Nalishukuru Halikutokea Janga mpaka Anatoroka
 
Mkuu Kinachoniuma Nimejaribu Sana Kutafuta Mtoto lakini Bado Sijafanikiwa
Kwanza kabisa pole mtu wangu ,jikaze ndo kuwa mwanaume ujue utakumbana na mengi hivyo ujiandae kuyakabili.Kwani tangia achoropoke ni muda gani umepita hadi umeanza zoezi la kuza mtoto mwingine.
 
Back
Top Bottom