Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikupajua Kwao Ndiyo Lakini Kuna Mama Alinikutanisha naye na Hata Kipindi Cha Ujauzito Mpaka Kujifungua alikua anakuja Mpaka nyumbani lakini nilipokwenda Kazini kwake Baada Ya Kutokea Haya Matatizo Niliambiwa Ameenda Masomoni na Tokea Niambiwe Hivyo Huyo Mama Bado Hajarudi
Hata kama hajarudi hana marafiki? uliza mawasiliano yake.Sikupajua Kwao Ndiyo Lakini Kuna Mama Alinikutanisha naye na Hata Kipindi Cha Ujauzito Mpaka Kujifungua alikua anakuja Mpaka nyumbani lakini nilipokwenda Kazini kwake Baada Ya Kutokea Haya Matatizo Niliambiwa Ameenda Masomoni na Tokea Niambiwe Hivyo Huyo Mama Bado Hajarudi
sio nakutisha kaka, hebu cheki kwanza tu madhingira uliyoishi nae. Hivi uliwezaje kuishi nae kipindi hicho chote bila kujua hata chimbuko lake?. Hivyo wakati unajiuliza swali hilo hapo ndipo utakopo kubali ukweli kwamba. Huyo ni jini ambae alitumia uwezo wake kukufanya usahau kuhoji jambo la msingi kama hilo.
Na una uhakika hiyo mimba ni yako? Basi polenimeshamtafuta Sana Lakini niliambiwa Yupo Masomoni Nje Ya Nchi
Alinambia Anaishi Mbezi beach Maeneo Ya Africana Lakini Sikuwahi kwenda
Pole mkuu. Weka wazi unapewa majibu gani hapo Ardhi kwa huyo mama aloenda masomoni?
kuna Baadhi Wananiambia Kuwa Mama Kaondolewa Pale Wizara Yupo Mwanza Kwenye Wizara Hiyo hiyo Lakini Tatizo ninapohitaji Mawasiliano Ndipo Ninapopewa Majibu Yasioridhisha Mkuu Ndiyo Maana nahisi Nimechezewa Mchezo
Panya anaingia tundu lolote tu ilimradi tundu usiniulize kwanini....make hata mi sijuiYani unaishi na mtu ambaye hadi mnazaa huwajui ndugu zake wala hata kuwasiliana nao kwenye simu? Hivi siku angekufia humo ndani ungefanyaje?
Hahahah basi gelofriend sikuulizi hata. Ila huku kurahisisha mambo kunacost sana, hapa angekuwa hata anawajua baadhi ya ndugu isingekuwa kazi sana kujua habari zake. Lakini yeye anamjua tu ndugu mmoja (nahisi ni undugu wa super glue) na walikutana naye tu ofisini. Mmh ndo haya yanamkuta now, usikute hata majina ya huyo binti alidanganywaPanya anaingia tunda lolote tu ilimradi tunda usiniulize kwanini....make hata mi sijui
Anajifanya eti alimkuta kajiinamia kwi kwi mtu kajiinamia usiku unapata ujasiri wa kumfata na kumpeleka nyumbaniHahahah basi gelofriend sikuulizi hata. Ila huku kurahisisha mambo kunacost sana, hapa angekuwa hata anawajua baadhi ya ndugu isingekuwa kazi sana kujua habari zake. Lakini yeye anamjua tu ndugu mmoja (nahisi ni undugu wa super glue) na walikutana naye tu ofisini. Mmh ndo haya yanamkuta now, usikute hata majina ya huyo binti alidanganywa