Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Kinachoniuma Nimejaribu Sana Kutafuta Mtoto lakini Bado Sijafanikiwa
Hahaa...Labda kama mimi siyo Yegomasika!. But It's all good buddy...Kupanga ni kuchagua!.Mkuu Kwa Binti Alivyo Hata Ungekuwa Ww Ungeongea Kwa Kikubwa
Umejuaje kama binti alikuzalia wewe? Kama alikuwa anatafuta mtoto inawezekana haukuwa peke yako...
Stuka!!!
mmmh kutokana na majibu yako inaonyesha hii ni kazi ya shigongo mkuu
Move on, utapoyeza miaka mingi bila kutafta mwingine, huyu akikua atakutafta na utamsimulia na utampa ushahidi kuwa uliposti jamii forum machungu yako
Haya yote ni maisha...
Ipo siku yatakwisha...
Leo mja nahangaika...
Mambo yamebadilika...
kwa ulivyosimulia ni kama miujiza fulan ambayo in ngumu kuamini! swala la kuwa na uhusiano na MTU mpaka mimba na kuzaa usijue hata atokako!?.mmh ilo kweli ni jini lilikuchanganya! ongea na mungu ndo suluhisho.
Mtafute huyo mama sasaMkuu Alinikutanisha tu na mama mmoja Hivi Na Akanambia Huyo ndiyo anapajua Kwao na chochote Kitachompata Basi nimuone Huyo Mama
Ndugu pole kwa yaliyokukuta, ila ninaungana wa wadau wengine waliotangulia inawezekana kabisa huyo binti alikuwa sio binadam wa kawaida, yani uishi na mtu hadi kupata ujauzito na kuzaa bila hata kufahamu atokako? Mhhh hapa pana utata