DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Tuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuma
Tuma
Hata kama kinga haija pasuka utapataje.Kama Yuko too tight na Hana utelezi wa kutosha hesabu maumivu.
Ila Kama Ni loose+wet,
Relax kabisa mkuu[emoji4]
Ndomu zinasaidia asilimia 60% tu. asilimia 40% unaupata. hapo ulipo kuna uwezekano mkubwa sana umeathirika. pole sana.Ni miaka 6 sasa sijawai fanya ngono peku (unprotected sex) na miezi 5 sijafanya ngono hadi wiki 3 zilozopita.
Demu niliyemangana naye nilipotezana nae miaka mingi nilipoonana naye nilimtaka tena kukumbushia na nikampiga Mara 4 na kondomu bao 1 kila tendo ktk wiki 3 zilizopita
Demu kapima Leo kaambiwa anao.
Mazee hofu niliyokuwa nayo nikama nilipiga peku, hata msosi sili kwa raha!!!
Wenge baya sana
Kuwa mpole mkuuKapime. Unatuambia ujinga wako wa uzinzi sisi tukusaidieje?
Ni kudanganyana tu kufikiri kinachoweza kuambukizwa ni kupigia kichwa unachofunika hadi pale katikati, wakati majimaji ya uke yanasambaa hadi kwenye shina ambako kuna nywele au vishina vya nywele ambavyo ni rahisi kutikiswa vikachubuka. kumbuka hakuna ngono ya kistaarabu, ukishaanza utamaliza mimaji ya uchi imetapakaa hadi kwenye pumbbu. huko nako unaweka ndomu? jamaa akapime aanze kutumia dawa, siku ingine ndio atajifunza kwamba uzinzi haulipi.Kutahiriwa kunazuia 60% je kuvaa ndomu itakuwa ngapi...... Please kama hujui relax kunywa maji ya vuguvugu
Bado hujui kitu mzee... But thank kwa mtazamo wako!Ni kudanganyana tu kufikiri kinachoweza kuambukizwa ni kupigia kichwa unachofunika hadi pale katikati, wakati majimaji ya uke yanasambaa hadi kwenye shina ambako kuna nywele au vishina vya nywele ambavyo ni rahisi kutikiswa vikachubuka. kumbuka hakuna ngono ya kistaarabu, ukishaanza utamaliza mimaji ya uchi imetapakaa hadi kwenye pumbbu. huko nako unaweka ndomu? jamaa akapime aanze kutumia dawa, siku ingine ndio atajifunza kwamba uzinzi haulipi.
Ni sahihi kutahiriwa ni 60% lakini usidanganyike ukafikiri kwenye kuambukizwa ni 1+1=2 wakati mwingine inaweza kuwa 11.