Mwanamke niliyetegemea kumuoa nimekuta picha zake group la Telegram

toa location mzee labda tutawakuta wachumba zetu huko.
 
Ndo hivyo, kuna jamaa mwenzako huko analia kaachwa kumbe kaachwa na dem ambae wenzake wanamnunua
 
Mkuu si lazima uiamini, nitaleta mrejesho japo nilichoomba ni ushauri wenu. Nisingependa kureact pasipo busara kwenye suala sensitive kama hili
 
Mkuu, huyo dada hatumii kabisa Facebook.. yupo Instagram na ni kwa ajili ya matangazo ya biashara ya mavazu tu na si vinginevyo.
 
Fuatilia ili uujue ukweli, isije ikawa ni mtu tu ame post picha za demu wako huko, maana hiyo michezo ipo sana.
 
Muuzaji na mnunuaji mmekutana, hapo wote ngoma droo. Mnununue huyo huyo demu wako
Hapo kwakweli ni both teams to score, asijeangusha chozi wala hasira[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shukuru Mungu umepata mjasiriamali.
Hakudaganya, ameenda dar kufunga mizigo mbupu za wateja wake.
Kama upo karibu muungishe mpenzi wako, atakupe huduma zote kwa bei ya offer.
 
Wanawake wanaokuja kufunga mzigo dar ni balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…