Mwanamke niliyewahi kumpenda mwanzo akanikataa, ameniambia kwa aina ya ugonjwa anaoumwa sasa yupo tayari kufia mikononi mwangu

Mwache afe tu.
Akifa wee utakosa nini
Just Be a MAN.
Afu mnakuaga wajinga qumamaque
No Comm' for 10yrs. Afu unasemaje ww
 
Anatumia bima
 
Sioni sababu ya kuendelea kuwasiliana nae, move on na maisha yako, km vipi akafia mikononi mwa ndugu zake
 
Kuja kuomba tu Ushauri kwa hili inadhihirisha there is something wrong upstairs,huwezi kuwa Okay then ukaja na hoja za kipumbavu kama hii..

Enewei,it's your birthday,you gonna party it!
 
Hana ndugu wa kumtolea Figo mkuu? Maana hiyo kesi isikiage kwa watu ila isiwe wewe au ndugu yako. Kuna ndugu yetu alipata hiyo kitu zilitutoka million 100 India.
 
Hatare
 
*Sometimes in life you feel the fight is over
And it seems as though the writings on the wall
Superstar, you finally made it
But once your picture becomes tainted
It's what they call
The rise and fall* - Craig David
 
Kaka mpe figo, si unampenda?
Figo Asimpe .. akampe mama yake mzazi au mwanae.

Wanawake hawanaga akili

Wanawake hawanaga shukrani.

Atampa akipona ataendelea na mbanga zake.

Cha kufanya aende tu kumpa pole kiubinadamu.

Awe Rafiki wakati huu wa shida na amwambie ukweli Kwamba hawatokuwa wapenzi na asiruhusu hisia zimtawale.

Tumia Zaidi AKILI sio moyo au hisia zako.
 
Nenda hospitali kamjulie hali. Mengine utaamua mwenyewe.
Hamna kitu kama hicho. Hata kuruka sarakasi hamna?! Faida yake kwake sasa ni ipi? Kuona mgonjwa,ubebelee matunda,hata kojoleo lake hulijui!!!
 
Wewe ni boya kama maboya wenine tu. Kuna la kukuweka dilema hapo?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…