Mwanamke niliyezaa nae ananipa majukumu yasiyonihusu

Mwanamke niliyezaa nae ananipa majukumu yasiyonihusu

Daaah ... sipigi kavu kavu tena. Hii mambo ni kama una mke wa pili kudadeki. Anyway Ahsantee kwa mawazo yako na yote ni ya msingi. Nitafanyia kazi Ahsantee sana tena
Na pia inawezekana anahitaji umpangie nyumba kwa sababu labda huko nyumbani wanamnyanyapaa kuzalia nyumbani kitu ambacho kinamuathiri kisaikolojia jambo ambalo litampelekea kushindwa kulea mtoto vizuri.Imagine Mama ana depression,maana yake hata maziwa yatakuwa hayatoki vizuri na pia kila saa atakuwa na hasira na mtoto.
 
Sijahakikisha..! Na hilo ndio linanifanya niwe nasita hata kuhudumia. Kwa sababu kwa akili yangu na toho yangu, siwezi kamwe kulea mtoto wa mwanaume mwingine. Sema sijapata fursa ya kumuona huyo mtoto maana sasa hivi tunaishi mikoa tofauti tofauti na ni Mbali haswa.
napitia comments za wadau lakini naona kuna sehem wanfeli hapo kama ulimove on ndio akaja na inshu ya mimba ndo mwanzo wakuanza kusitasita kufanya malezi kwa bibie sababu hujaamini kama kweli n wako au laah!
pia itoshe kusema huyo sio mtot wako kama unafanya malezi lakin yeye anafanyakwa manufaa akee
na pia kama akikutafuta analeta makasiriko yake hapo hapo utkuta sio dam ako sema anakunanga ili apige mawe yako kwa mwanamke ulie zaa nae hawez kua na kauli hizo pale unapo kua hupokei sim ake co anajua unatafuta kwa ajili ya mtoto either angekua ndo anamimba ila kama tyr kajifungua hio ni mchongo teena kama hujamuona mtot hata kwa picha broo hapo unapigwa mchana kweupe kmaa ni pesa ulimpa kwa ajili ya biashara ela kaisha kura anataka zinginge
chungaa wanawake sio watu wa kawaida
 
Matunzo ya mtoto maana yake ni matunzo ya Mama yake in term of food,shelter pamoja na nguo.

1.Mama anahitaji chakula ili aweze kumnyonyesha mtoto.

2.Mama anahitaji nyumba ya kuishi ili mtoto asidhurike na baridi au mvua,mbu,wanyama wakali wa usiku,e.t.c

3.Mama anahitaji nguo kwa sababu hawezi kumlea mtoto akiwa uchi.Imagine Mama anampelekaje mtoto clinic akiwa uchi!.Yaani mtoto kavaa nguo lakini Mama yake yuko uchi!

Kwa hiyo mahitaji yote anayokuambia umpe ni mahitaji sahihi wala siyo mahitaji hewa.Cha msingi mpe mtaji ili kukwepa mizigo zaidi.
Kivuruge katika ubora wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipi rahisi sasa kama unaona anakupa mizigo isiyokua yako ambayo ni shelter yake unaonaje akupe mzigo unaokuhusu ambao ni mtoto upambane nao??

Sasa kama hutaki kumlipia chumba mtoto atalala wapi?? Afya ya mama ni muhimu kwa usalama wa mtoto. Utategemeaje nyanya iliyoiva na kupendeza vizuri kwa mche ambao huumwagilii na kupulizia dawa.
Haijalishi ulishamuve on au lah as long as anamwanao huna ujanja hapo mmeunganisha bond ya maisha. Labda kama una dukuduku kua si mwanao..

Be a man.. Be responsible on your duties and act accordingly.
Utafanya wanaume wengine wazidi kuonekana mabwege

SORRY
Well said[emoji122][emoji122]

Kingsmann
 
Habari za wakati huu wapendwa na wanajamvi wenzangu wa MMU. Poleni kwa kazi na kwa wale walioenda kusali hongereni kwa ibada.
Nianze mkasa wangu juu ya huyu Baby mama wangu, Hapa juzi kati (wiki iliyopita) mwanadada aliyedai kuwa anaujauzito wangu na kunikabidhi kulea, alijifungua salama na Mtoto wa Kiume Mungu akajalia.
Anaishi kwao na mimi naishi kwangu, mwanzo alitaka aje akae nami tulee mimba pamoja nilikataa kwa sababu zangu binafsi. So ikabidi akae kwao tu, sasa tangu amejifungua nimekuwa nikituma pesa kwa ajili ya mahitaji ya msingi kwaajili ya mtoto na mama mtoto ukizingatia mtoto bado anategemea kila kitu kutoka kwa mama yake.
Kuna baadhi ya mahitaji ananitajia kimsingi mimi nayaona kama sio sahihi mimi kuhudumia kwa maana mahusiano mimi na yeye yaliisha na mimi nikawa nime move on na yeye akawa ame move mwanzoni kabisa mwa ujauzito. Sasa wakati kuna majukumu mengine naona kama napewa mzigo usio wangu, kwa mfano ananiambia nimlipie kodi ya nyumba akaishi kwake, ikiharibika simu hela ya matengenezo anapiga simu kwangu na niliwahi mpatia mara moja akatengeneza ila naona kama anazidi kuleta mazoea anataka nimpatie mtaji au nimfungulie biashara ili asinisumbue ishu ya matumizi ya mtoto [emoji3064], nilikataa nikamwambia nitatoa hela ya matumizi kila mwisho wa mwezi ila sio kukufungulia biashara.
Tokea hapo, ikitokea amepiga simu na nikawa sijapokea labda ikawa iko mbali au sikusikia anatuma mimeseji ya ajabu... Mara naona unakatika mauno juu ya huyo malaya wako ila simu ya mwanamke anayekulelea mwanao hupokei” sikujibu lolote ni nyingi tu mara unatumia pesa na malaya wako ila hela ya mtoto hutoi.! Pesa natoa ila yeye anaiingiza kwenye matumizi yake binafsi so namimi nakaza.
Sasa nimekuja kwenu, wanaume wenzangu ambao tunaohudumia hawa akina mama mnafanyaje ili kufanya hili suala la malezi kuwa rahisi na kupunguza mivutano na huyu mwana mama (Baby mama)
Naomba kuwasilisha, naombeni michango yenu wakuu
Ukweli mkuu ni kwamba huwezi tenganisha matumizi ya mama na mtoto hasa mtoto mdogo. Kumbuka huyo mtoto anahitaji kunyonya, mama inabidi ale vizuri ili awe na maziwa, asiwe na stress ili awe na maziwa. Huwezi kutuma pesa ya mtoto tu ukitegmea mamaataitumia kwa ajili hiyo unless ana chanzokingine cha mapato.

Mimi na kushauri tu kama ukiweza kusaidia unapoweza msaidie tu maana kumlea mtoto ni kazi siyo rahisi hasa akiwa mdogo. Kuna siku anakesha bila kulala, akiwa anaumwa anahangaika wewe unaweza kudhani labda pesa ukituma ndiyo solution ya kila kitu. Sisemi kwamba ubebe mzigo wake, ila nasema msaidie unapoweza vitu vidogo siyo kwamba ukampangie au umpe mtaji hapana.
 
Ukweli mkuu ni kwamba huwezi tenganisha matumizi ya mama na mtoto hasa mtoto mdogo. Kumbuka huyo mtoto anahitaji kunyonya, mama inabidi ale vizuri ili awe na maziwa, asiwe na stress ili awe na maziwa. Huwezi kutuma pesa ya mtoto tu ukitegmea mamaataitumia kwa ajili hiyo unless ana chanzokingine cha mapato.

Mimi na kushauri tu kama ukiweza kusaidia unapoweza msaidie tu maana kumlea mtoto ni kazi siyo rahisi hasa akiwa mdogo. Kuna siku anakesha bila kulala, akiwa anaumwa anahangaika wewe unaweza kudhani labda pesa ukituma ndiyo solution ya kila kitu. Sisemi kwamba ubebe mzigo wake, ila nasema msaidie unapoweza vitu vidogo siyo kwamba ukampangie au umpe mtaji hapana.

Hii comment ndio niliyoielewa vzuri, naahidi kumhudumia kadri ninavyoweza. Ahsantee Mkuu kwa Muda wako wa kunisaidia mawazo.
 
vidume vya humu mnaopendaga kupeana connection, hii ni reminder fanya yote ila 'usikamatike' ukikamatika hakuna pa kutokea... [emoji1787] [emoji1787]

Yaani toka ilipotokea hii sifanyi peku labda kwabMke mtarajiwa..! Yaani ningenunua mpira wa Buku ungeniokoa na hii tabu.
Ila mademu wanajilengeshaga sana, alikataaga kuvaa mpira akasema hatafeel utamu nikamula kavukavuvbaada muda naambiwa habari zatu anatapika sijui imekaaje kaaje. Ila sawa bhana..! [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom