Mwanamke niliyezaa nae ananipa majukumu yasiyonihusu

Daaah ... sipigi kavu kavu tena. Hii mambo ni kama una mke wa pili kudadeki. Anyway Ahsantee kwa mawazo yako na yote ni ya msingi. Nitafanyia kazi Ahsantee sana tena
Na pia inawezekana anahitaji umpangie nyumba kwa sababu labda huko nyumbani wanamnyanyapaa kuzalia nyumbani kitu ambacho kinamuathiri kisaikolojia jambo ambalo litampelekea kushindwa kulea mtoto vizuri.Imagine Mama ana depression,maana yake hata maziwa yatakuwa hayatoki vizuri na pia kila saa atakuwa na hasira na mtoto.
 
napitia comments za wadau lakini naona kuna sehem wanfeli hapo kama ulimove on ndio akaja na inshu ya mimba ndo mwanzo wakuanza kusitasita kufanya malezi kwa bibie sababu hujaamini kama kweli n wako au laah!
pia itoshe kusema huyo sio mtot wako kama unafanya malezi lakin yeye anafanyakwa manufaa akee
na pia kama akikutafuta analeta makasiriko yake hapo hapo utkuta sio dam ako sema anakunanga ili apige mawe yako kwa mwanamke ulie zaa nae hawez kua na kauli hizo pale unapo kua hupokei sim ake co anajua unatafuta kwa ajili ya mtoto either angekua ndo anamimba ila kama tyr kajifungua hio ni mchongo teena kama hujamuona mtot hata kwa picha broo hapo unapigwa mchana kweupe kmaa ni pesa ulimpa kwa ajili ya biashara ela kaisha kura anataka zinginge
chungaa wanawake sio watu wa kawaida
 
Kivuruge katika ubora wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said[emoji122][emoji122]

Kingsmann
 
Ukweli mkuu ni kwamba huwezi tenganisha matumizi ya mama na mtoto hasa mtoto mdogo. Kumbuka huyo mtoto anahitaji kunyonya, mama inabidi ale vizuri ili awe na maziwa, asiwe na stress ili awe na maziwa. Huwezi kutuma pesa ya mtoto tu ukitegmea mamaataitumia kwa ajili hiyo unless ana chanzokingine cha mapato.

Mimi na kushauri tu kama ukiweza kusaidia unapoweza msaidie tu maana kumlea mtoto ni kazi siyo rahisi hasa akiwa mdogo. Kuna siku anakesha bila kulala, akiwa anaumwa anahangaika wewe unaweza kudhani labda pesa ukituma ndiyo solution ya kila kitu. Sisemi kwamba ubebe mzigo wake, ila nasema msaidie unapoweza vitu vidogo siyo kwamba ukampangie au umpe mtaji hapana.
 

Hii comment ndio niliyoielewa vzuri, naahidi kumhudumia kadri ninavyoweza. Ahsantee Mkuu kwa Muda wako wa kunisaidia mawazo.
 
vidume vya humu mnaopendaga kupeana connection, hii ni reminder fanya yote ila 'usikamatike' ukikamatika hakuna pa kutokea... [emoji1787] [emoji1787]

Yaani toka ilipotokea hii sifanyi peku labda kwabMke mtarajiwa..! Yaani ningenunua mpira wa Buku ungeniokoa na hii tabu.
Ila mademu wanajilengeshaga sana, alikataaga kuvaa mpira akasema hatafeel utamu nikamula kavukavuvbaada muda naambiwa habari zatu anatapika sijui imekaaje kaaje. Ila sawa bhana..! [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…