Mwanamke njoo usimulie ulivyompata mme wako wa ndoa!!

Sijui Kama wataongea. Na walivyo wasiri hivi ?
 
We jamaa kama unaongeaga kama chizi ila nakuelewaga sana..utakuwa chid benz wewe aka genius

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
Nikweli kabisa chief....
Na ndio maana hata ndege ndio hukula funza kwa wingi zaidi, wakati wakikufa funza huwakula wao...teh[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…