Mwanamke njoo usimulie ulivyompata mme wako wa ndoa!!

Yani ile samehe 7×70 ishazidi aargh, babe gani wewe hutulii, bucha tofauti ila nyama ileile, au umeona tofauti huko?😉
Bebi dogo langu ndio alikuwa anachatisha humu yani muda tu kabla sijasanuka af ndio kameingia balehe basi kana moto sana yani. Kanaparamia kila fursa yani.

Nimeshakatia makonzi kaache uhuni wa kukamata simu ya braza ake!

Mie wangu ni wewe daima boo, usikonde
 
Yaani kwa sounds nakuaminia, nimebaki nacheka tu na hasira zishaisha, nimekusamehe babe wangu, huyu dogo huyo awe makini ataua watu kwa presha ujue, na nakuruhusu unipandishe cheo ukitaka usijali😀
 
Hizi sounds huyo the real wifi hachomoi sijui itakuaje, unaonekana ni mjanja mno wewe😀

Good night rafiki.
 
Yaani kwa sounds nakuaminia, nimebaki nacheka tu na hasira zishaisha, nimekusamehe babe wangu, huyu dogo huyo awe makini ataua watu kwa presha ujue, na nakuruhusu unipandishe cheo ukitaka usijali😀
Yan beb wangu hivi sasa dogo yuko karantini anaugulia maumivu ya utosi tu sahivi. Naamini hatarudia tena kuchezea tambo langu my love 🤩🤩🤩!
Kwahio bebi wangu unataka nifanye Mwakalization kabisa!?. Hakika wewe utabaki kuwa mwanamke wa pekee kuwahi kutokea katika maisha yangu ujue...I love u sana my chica bonita 😍😍😍
 
Yani ile samehe 7×70 ishazidi aargh, babe gani wewe hutulii, bucha tofauti ila nyama ileile, au umeona tofauti huko?😉
Haha! Huko kwa Bucha tofauti nyama ile ile huwa ni maneno ya faraja tu, Ila ukweli ni kwamba Bucha tofauti nyama tofauti pia japo zote Zina jina moja. Yaani ni kama lugha ya kichaga vile, wote wataitwa wachaga ila kila mmoja atazungumza lugha yake, sijui mmachame, mkibosho Mara Mrombo.
 
Back
Top Bottom