Mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa kwa asilimia mia. Naombeni ushauri

Mkuu una roho ya uvumilivu sana na ustahimilivu kiasi kwamba napata na wasiwasi kuwa hata huyo mtoto wa kwanza ni wako kweli?

Yani kwa tabia alizoonesha huyo x wako ni dhahiri kuwa alikuwa anagongwa na jamaa yake kabla hata hujamuoa na kipindi ambacho mlikuwa mnaishi pamoja hadi kufikia akapewa HIV na mimba juu.

Mie baada ya kumkuta na HIV hio biashara ingekuwa imeisha hapo. Hakuna cha ndoa wala ukwaju. Ila kwakuwa unaimani mtoto wa kwanza ni wako komaa nae akifika 7 yrs unamchukua unamlea.
 
1. Una uhakika gani huyo mtoto binti ni wa kwako? Maana naona umekomaa kishenzi kusema mwanangu hivi mwanangu vile wakati ushapigwa tukio za kutosha...

2. Uliwezaje kulala bila kinga na mkeo kutokana na hali yake, kiasi kwamba akakueleza ana ujauzito wa pili?

3. Umepima tena afya lini hivi karibuni? Naona umeandika una mahusiano mengine...
 
mwanaume unatia hiruma kama hvo we piga chini mtt akikua atamtafuta baba yake wwe huskii kila sku maredioni namtafuta baba namtfuta mama. mtu mwenyewe ashaungwa kwenye grid ya taifa ww unajisogeza karib yake au bado unamtaka maana ulijua ana ngoma na bado ukaendelea nae[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama hukutaka kuw mwanaume ungesema unachofanya ni kutuaibisha
 
1. Una uhakika gani huyo mtoto binti ni wa kwako? Maana naona umekomaa kishenzi kusema mwanangu hivi mwanangu vile wakati ushapigwa tukio za kutosha...

2. Uliwezaje kulala bila kinga na mkeo kutokana na hali yake, kiasi kwamba akakueleza ana ujauzito wa pili?
Maswali mazuri sanaa, huyo mtoto huenda sio wake....na hapo kwenye afya akapime

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
1.Kwanza pole kwa kwa kuambukizwa HIV jitahidi kutumia dawa wewe jamaaa

2.mtoto sio wako huyo we jamaaa achana naye Kama ni wako siku mama yakimshinda atamleta mwenyewe

3.la mwisho na MUHIMU kabisa ebu nipe connection huko ndugu na mie nipige code hapo kwa wahindi au sehemu yeyote ni develop system,web app na phone application mkuu maisha magumu sana kitaaa
 
Habari wana JF, Nilikuwa na changamoto naitaji kushare na nyinyi ili muweze kunisaidia kimawazo,
Maana kuna kitu kinaniumiza sana katika Maisha yangu.

Mnamo Mwaka 2015
Nilikutana na binti wa kimakonde wakati nipo nmepata kazi yangu ya kwanza kwa wahindi, kama Full Stack Developer maana nilisoma Computer Science Pale DIT, mshahara wangu ulikuwa kama 1.2M per mouth ambao napata cash ktk account, Tulipendana nayeye alikuwa muhanga wa ajila za uwalimu wa shule za msingi, alikosa kazi kwa muda mrefu. Pindi nmekutana nae alikuwa ana kazi.
Tuliishi vizuri kwa furaha na amani takribani kwa miaka 3 bila shida yoyote, alinieleza Maisha yake aliyo pitia na changamoto za wanaume alio kutana nao. Ila wakati tunaishi katika miaka iyo mitatu nilikutana na changamoto moja aliniambia mtu wake wa mwisho katika mausiano alikuwa anaumwa sana ugonjwa wa moyo na baadae alifaliki dunia, kwaiyo kipindi anakutana na mimi nilikuta baadhi ya picha za yule kijana mwenzangu ambae alifaliki dunia kwa ugonjwa wa moyo. Ila mimi sikujaji sana Maisha yakaendelea.
Alinikuta nakaa ktk chumba na sebule, Tukaishi akawa anakuja home na mimi naenda kwao, wakawa wananijuwa kama mchumba wake, Kusema ukweli kipindi nipo nae kablaya kfanya mapezi nilipima nae HIV na baada ya kuona tupo sawa tukaendaelea kula ujana.
Baada ya kuona Afya zetu zipo sawa na salama, aliniambia mm bado nipo bikla kwaiyo ukinitoa bikla razima unioe, maana kwao walikuwa watu wa dini sana, siku ya kwanza kukutana nae kimwili niliumia sana ila ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kulala na mwanamke. Nilijuwa kawaida na sikumuliza mtu yoyote kuhusu jambo ilo.

Mwaka 2016 Nikaanza kuona baadhi ya tabia tofauti mara mda mwengine nikishika simu yake anakuwa ana wasi wasi, ilasikujali maana nilijuwa labda ajazoea mtu kushika simu yake. Baadae kuna namba nikawa naiyona sana katika call arafu anaonge nayo mda mwingi sana, sikuwaza wala sikutaka kumfatilia sana. Nilifikilia anaweza akawa ndugu zake wa kijijini. Baadae nikagundua sioni kijana ila yeye alinitambulisha kama Rafiki yake wa mtaani ambapo alipokulia. Baadae nilivyokuw na wasiwasi nikamshauli aifute namba na nikamsajilia namba mpya.

Mwaka 2017 Nilikuja kuona txt za kimapenzi na ile namba ambayo mm niliweka ktk diary yangu, na kuifuta katika simu yake na kumwambia kijana asimpigie tena. Maana ndo mwaka ambao nilipeleka posa kwao kwa ajili ya kufunga nae ndoa. Mwishoni mwa mwaka alipata ujauzito, baada ya kwanza kwenda clinic mara ya kwanza wote kwenda hospital kupima akakutwa na HIV ila cha ajabu mimi nilikutwa sina mambukizi yoyote. Nililia sana usiku na yeye akawa ananiambia tuachane nilikataa maana niliomba ushauri kwa daktari akaniambia mtoto awezi kupata mambukizi na mm siwezi kupata mambukizi ikiwa anatumia vizuri dawa za ARV, Nilikubali kuishi nae akiwa katika ali iyo iyo na baada ya kujifungua na mtoto kufikisha arobaini kama sisi waislam mwaka 2018 nikafunga nae ndoa. Mungu alinijalia kupata mtoto wa kwanza wa kike

Mwaka 2018 tarehe 08/06/2018 nikafunga nae ndo na kuamia katika nyumba nzima maana si unajua maswala ya uzazi, ndugu wanakuja kumuona mtoto na mambo mengine, ila kipindi chote cha ujauzito niliishi nae mpaka anapata uchungu niliishi nae mpaka nampeleka hospital kujifungua na kipindi anatoka hospital alikaa kwa kwa muda wa siku tano tu na kurudi nikae nae, nilimkanda na kumsafisha, nadhani nilijifunza vitu vingi vya uzazi kupitia yeye. Na tulipendana sana bila ya kujali ugonjwa wake wa HIV.

Mwaka 2019 Kampuni yetu ilifunguwa tawi arusha nikawa nambiwa kila baada ya miezi tisa nenda nakaa kwa muda wa miezi mitatu na kurudi home dar, kabla ya kuondoka kwenda arusha nikaona kuna mabadiliko sana kama mke na mume, kuna program ya kulipia nika muwekea ktk simu yake na kuanza ku track kila kitu anachofanya ktk simu yake, nilifanikiwa kupata tena ile namba ambayo nilikuwa nimeiandika katika diary yangu kuwa anaonge nayo sana. Nikaenda kwa babu nyumbani mzaa baba na kumuelewesha mambo ninayo kutana nayo katika ndoa, akanishauli kama nasafiri nimuache akiwa katika period nisiondoke mpaka akipata period, basi nikajichelewesha kazini mwishoe nikaondoka kuelekea arusha na kumuacha akiwa katika period, miezi mitatu ikaisha na baadae nikarudi home, niliumia sana baada ya kurudi home maana nilikuta vitu vingi sana katika computer baada ya kuanza kuangalia toka naondoka mpaka narudi, kila kitu nilikuta ata kama alifuta kule nilikuta na inaonyesha kama kimefutwa.
Nilipiga sana moyo maana niligundua kuwa ni mjamzito ila nilijikaza sana, bila yay eye kugundua kama najuwa, nilijitaidi kuto kuonyesha tofauti yoyote, aliniforce sana nilale nae na mimi sikukataa nil ilala nae angali nina Ushahidi katika computer, maana alikuwa anamwambia jamaa kuwa ajaziona siku zake. Baadae alikuja akaniambia mme wangu naisi nina ujauzito sikubisha nilimuonesha nimefurahi sana. Baada ya mimba kutimia miezi 5 nilishindwa kuvumilia maana mda mwingi kipindi cha usiku nilikuwa nakosa usingizi nabaki namuangalia akiwa amelala
Inafika kipindi nachukuwa hadi kisu nataka kumuuwa kwa kumchoma choma, rakini moyo unasita nikimuangalia binti yangu mdogo asiye jua lolote, sikutaka mwanangu aje kupata shida kwa sababu yangu, niliisi ntaenda jela kwa kosa la kuuwa. Baadae nikaenda kumwambia babu mzaa baba wakaita kikao na tukaongea kama ndugu upande wetu mimi baba na babu nikaulizwa vipi unataka kuendelea nae au tuwatalifu wazazi wao, bas moyo wangu nikashauli tuongee na wazazi wao,
Ikapangwa tarehe ila bado mimi sikumwambia chochote mke wangu. Siku ya kikao ilipo fika nilienda kwao na familia yangu bila ya yeye kujuwa chochote. Tukaonge baadae wakanipa option ya kuchaguwa mm nikachaguwa kuachana nae. Aliitwa akaja na akakili japo aliomba msamaha sana ila mimi nilikataa kuendelea nae, tukamuacha kwao na sisi tukaondoka.

Mwaka 2020 Baada ya kujifungua nilimpa taraka zake zote, na kama kawaida yangu kila nnapopata mda naenda kumfata mwanangu nakaa nae weekend siku za kazi namrudisha kwa mama yake. Napeleka pesa za matumizi kama kawaida, baada yam waka mmoja mdogo wake wa kike alinitafuta na kuanza kunipa mkanda mzima sasa, kuwa yule jamaa ambae nilikuwa naongea nae alikuwa ndo mwanaume wake wa kwaza ambae kipindi sijakuwa nae jamaa alikuwa anatambulika nyumbani, na kipindi mimi nipo nae jamaa alikuwa ameenda kusoma urusi, maana alimuahidi akasome akirudi watakuja kufunga ndoa na jamaa now ni mwanajeshi, ndo yupo nae hadi hivi sasa, maana nilipo sikia maneno ayo niliumia sana maana alikuwa anajuwa alafu alinificha, kile kitendo kilinifanya nilale nae yule mdogo wake wa kike ili kulipiza kisasi. Aliniambia mpaka siku anakuja kwangu kumtoa bikra ilikuwa sio bikra bali aliniweka shabu sijui inaitwa, maana iyo mm sio mwanaume wake wa kwanza. Nilijitaidi na mimi kumumiza ili ajue na mimi nmelala na mdogo wake kama revenge, na niliweza wakagombana na mdogo wake.

Mwaka 2021 Nikaona naanza kunyimwa mtoto siku za weekend, na kuanza kuwekewa vizuizi vya kumuona mtoto maana wazazi wake wapo chanika now baada ya kustaafu kazi za serikari, na mwaka huu alipata kazi ya kuwa mwalimu ya shule ya msingi, ambayo ipo mkoani ambapo napajuwa mpaka shule anayo fundisha. Najitaidi sana kumbembeleza ili niwe karubu na mwanangu naona inakuwa ngumu sana. Baadae na mimi nilibalikiwa kupata mtoto mwengine wa kiume, nilimsahau kwa muda mfupi tena na machungu yakapungua ktk Maisha yangu.

Mwaka 2022 Huu mwaka nmepatwa na jinamizi la kumuota mwanangu wa kike wa kwanza kila ninapojitaidi kulala, nayeye bado ataki mm niweze kuwa karibu na mwanagu wa kike, maana now bado sijaowa ila naishi na msichana tu tumezaa mtoto mmoja, maana mara ya mwisho kuongea nae baada ya kugundua nina mtoto mwengine anasema atabadilisha jina la baba la mtoto aitwe jina la baba mwanajeshi. Naombeni ushauli wadau naweza kumpata mwanangu kwa kutumia sheria au nafanyaje.
Maana ndo mwanangu wa kwanza naumia sana damu yangu ikipotea bule bila sababu yoyote maana naona kila siku nazidi kupagwa na mwanangu wa kike naombeni ushauli maana mwanajeshi asije akapoteza Maisha yangu bule
Ni mesoma andiko lako lote, ila na wasiwasi kama wewe ni mwanaume kamiri alijali, hapo sioni sabb ya kulia lia umefanyiwa hayo yote bado unaguvu za kumuona huyu demu eti kisa ana mtoto wako tena wakike!!!!! Achana na huo ujinga akitaka ata mleta mtoto kama hataki move on zaa wengine kwani mimba unabeba wewe?
 
pole sana mkuu
Ukitaka uishi muda mrefu na AFYA njema katika hii DUNIA usimuonee HURUMA MWANAMKE

ipo hivi pamoja na blahblah nyingi anazokuonesha mwanamke anakupenda sijui ninini na ninini
amin nakuambia mwisho wa yote mwanamke anachitaka kwako ni PESA

sawa na wewe pamoja na blahblah nyingi huduma lukuki kwa mwanamke kumuonesha
kiasi gani unamjali na kumthamini lkn mwisho wa yote ni ili akupe K*MA useleleke nayo akibania K*UMA na Huduma zinakata taratibu

sasa mkuu kwa DUNIA ya sasa na umri ulonao ukiamua kuwa na mwanamke katika uhusino
Focus kwa kila hila na nguvu za ushawishi iwe kipesa au ahadi za uongo ili upate K*MA/PAPUCHI/MBUSUSU/KITUMBUA uburudike nayo kwan WANAWAKE ni CHOMBO cha starehe tu
sasa ukiwekeza MOYO AKILI MAPENZI na MATEGEMEO kwa mwanamke Utakufa siku si zako na kumuacha MWANAO YATIMA

kuhusu MSAADA unaotaka ipo hivi USTAWI WA JAMII haipo kwa ajili ya Wanawake tu kwenda kudai pesa za MATUMIZI tu pekee
USTAWI WA JAMII inasimamia KESI kama hizo zako
PELEKA shauri lako USTAWI WA JAMII atapewa thamasi ataitwa mtakaa Chini wote pamoja mtasolve hiyo issue
BETTER CALL SAUL siku mkiitwa pamoja USTAWI
LAWYER atambana kwa vipengele unaweza ukapewa mtoto umlee wewe yeye akapokonywa
View attachment 2305180
Ukishatambua hili kuwa wanawake ni chombo cha starehe tuu basi maishani umesha win
 
Mkuu una roho ya uvumilivu sana na ustahimilivu kiasi kwamba napata na wasiwasi kuwa hata huyo mtoto wa kwanza ni wako kweli?

Yani kwa tabia alizoonesha huyo x wako ni dhahiri kuwa alikuwa anagongwa na jamaa yake kabla hata hujamuoa na kipindi ambacho mlikuwa mnaishi pamoja hadi kufikia akapewa HIV na mimba juu.

Mie baada ya kumkuta na HIV hio biashara ingekuwa imeisha hapo. Hakuna cha ndoa wala ukwaju. Ila kwakuwa unaimani mtoto wa kwanza ni wako komaa nae akifika 7 yrs unamchukua unamlea.
[emoji1787][emoji1787][emoji2960]eti ndoa wala ukwaju
 
Habari wana JF, Nilikuwa na changamoto naitaji kushare na nyinyi ili muweze kunisaidia kimawazo,
Maana kuna kitu kinaniumiza sana katika Maisha yangu.

Mnamo Mwaka 2015
Nilikutana na binti wa kimakonde wakati nipo nmepata kazi yangu ya kwanza kwa wahindi, kama Full Stack Developer maana nilisoma Computer Science Pale DIT, mshahara wangu ulikuwa kama 1.2M per mouth ambao napata cash ktk account, Tulipendana nayeye alikuwa muhanga wa ajila za uwalimu wa shule za msingi, alikosa kazi kwa muda mrefu. Pindi nmekutana nae alikuwa ana kazi.

Tuliishi vizuri kwa furaha na amani takribani kwa miaka 3 bila shida yoyote, alinieleza Maisha yake aliyo pitia na changamoto za wanaume alio kutana nao. Ila wakati tunaishi katika miaka iyo mitatu nilikutana na changamoto moja aliniambia mtu wake wa mwisho katika mausiano alikuwa anaumwa sana ugonjwa wa moyo na baadae alifaliki dunia, kwaiyo kipindi anakutana na mimi nilikuta baadhi ya picha za yule kijana mwenzangu ambae alifaliki dunia kwa ugonjwa wa moyo. Ila mimi sikujaji sana Maisha yakaendelea.

Alinikuta nakaa ktk chumba na sebule, Tukaishi akawa anakuja home na mimi naenda kwao, wakawa wananijuwa kama mchumba wake, Kusema ukweli kipindi nipo nae kablaya kfanya mapezi nilipima nae HIV na baada ya kuona tupo sawa tukaendaelea kula ujana.

Baada ya kuona Afya zetu zipo sawa na salama, aliniambia mm bado nipo bikla kwaiyo ukinitoa bikla razima unioe, maana kwao walikuwa watu wa dini sana, siku ya kwanza kukutana nae kimwili niliumia sana ila ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kulala na mwanamke. Nilijuwa kawaida na sikumuliza mtu yoyote kuhusu jambo ilo.

Mwaka 2016 Nikaanza kuona baadhi ya tabia tofauti mara mda mwengine nikishika simu yake anakuwa ana wasi wasi, ilasikujali maana nilijuwa labda ajazoea mtu kushika simu yake. Baadae kuna namba nikawa naiyona sana katika call arafu anaonge nayo mda mwingi sana, sikuwaza wala sikutaka kumfatilia sana. Nilifikilia anaweza akawa ndugu zake wa kijijini. Baadae nikagundua sioni kijana ila yeye alinitambulisha kama Rafiki yake wa mtaani ambapo alipokulia. Baadae nilivyokuw na wasiwasi nikamshauli aifute namba na nikamsajilia namba mpya.

Mwaka 2017 Nilikuja kuona txt za kimapenzi na ile namba ambayo mm niliweka ktk diary yangu, na kuifuta katika simu yake na kumwambia kijana asimpigie tena. Maana ndo mwaka ambao nilipeleka posa kwao kwa ajili ya kufunga nae ndoa. Mwishoni mwa mwaka alipata ujauzito, baada ya kwanza kwenda clinic mara ya kwanza wote kwenda hospital kupima akakutwa na HIV ila cha ajabu mimi nilikutwa sina mambukizi yoyote.

Nililia sana usiku na yeye akawa ananiambia tuachane nilikataa maana niliomba ushauri kwa daktari akaniambia mtoto awezi kupata mambukizi na mm siwezi kupata mambukizi ikiwa anatumia vizuri dawa za ARV, Nilikubali kuishi nae akiwa katika ali iyo iyo na baada ya kujifungua na mtoto kufikisha arobaini kama sisi waislam mwaka 2018 nikafunga nae ndoa. Mungu alinijalia kupata mtoto wa kwanza wa kike

Mwaka 2018 tarehe 08/06/2018 nikafunga nae ndo na kuamia katika nyumba nzima maana si unajua maswala ya uzazi, ndugu wanakuja kumuona mtoto na mambo mengine, ila kipindi chote cha ujauzito niliishi nae mpaka anapata uchungu niliishi nae mpaka nampeleka hospital kujifungua na kipindi anatoka hospital alikaa kwa kwa muda wa siku tano tu na kurudi nikae nae, nilimkanda na kumsafisha, nadhani nilijifunza vitu vingi vya uzazi kupitia yeye. Na tulipendana sana bila ya kujali ugonjwa wake wa HIV.

Mwaka 2019 Kampuni yetu ilifunguwa tawi arusha nikawa nambiwa kila baada ya miezi tisa nenda nakaa kwa muda wa miezi mitatu na kurudi home dar, kabla ya kuondoka kwenda arusha nikaona kuna mabadiliko sana kama mke na mume, kuna program ya kulipia nika muwekea ktk simu yake na kuanza ku track kila kitu anachofanya ktk simu yake, nilifanikiwa kupata tena ile namba ambayo nilikuwa nimeiandika katika diary yangu kuwa anaonge nayo sana.

Nikaenda kwa babu nyumbani mzaa baba na kumuelewesha mambo ninayo kutana nayo katika ndoa, akanishauli kama nasafiri nimuache akiwa katika period nisiondoke mpaka akipata period, basi nikajichelewesha kazini mwishoe nikaondoka kuelekea arusha na kumuacha akiwa katika period, miezi mitatu ikaisha na baadae nikarudi home, niliumia sana baada ya kurudi home maana nilikuta vitu vingi sana katika computer baada ya kuanza kuangalia toka naondoka mpaka narudi, kila kitu nilikuta ata kama alifuta kule nilikuta na inaonyesha kama kimefutwa.

Nilipiga sana moyo maana niligundua kuwa ni mjamzito ila nilijikaza sana, bila yay eye kugundua kama najuwa, nilijitaidi kuto kuonyesha tofauti yoyote, aliniforce sana nilale nae na mimi sikukataa nil ilala nae angali nina Ushahidi katika computer, maana alikuwa anamwambia jamaa kuwa ajaziona siku zake. Baadae alikuja akaniambia mme wangu naisi nina ujauzito sikubisha nilimuonesha nimefurahi sana. Baada ya mimba kutimia miezi 5 nilishindwa kuvumilia maana mda mwingi kipindi cha usiku nilikuwa nakosa usingizi nabaki namuangalia akiwa amelala.

Inafika kipindi nachukuwa hadi kisu nataka kumuuwa kwa kumchoma choma, rakini moyo unasita nikimuangalia binti yangu mdogo asiye jua lolote, sikutaka mwanangu aje kupata shida kwa sababu yangu, niliisi ntaenda jela kwa kosa la kuuwa. Baadae nikaenda kumwambia babu mzaa baba wakaita kikao na tukaongea kama ndugu upande wetu mimi baba na babu nikaulizwa vipi unataka kuendelea nae au tuwatalifu wazazi wao, bas moyo wangu nikashauli tuongee na wazazi wao.

Ikapangwa tarehe ila bado mimi sikumwambia chochote mke wangu. Siku ya kikao ilipo fika nilienda kwao na familia yangu bila ya yeye kujuwa chochote. Tukaonge baadae wakanipa option ya kuchaguwa mm nikachaguwa kuachana nae. Aliitwa akaja na akakili japo aliomba msamaha sana ila mimi nilikataa kuendelea nae, tukamuacha kwao na sisi tukaondoka.

Mwaka 2020 Baada ya kujifungua nilimpa taraka zake zote, na kama kawaida yangu kila nnapopata mda naenda kumfata mwanangu nakaa nae weekend siku za kazi namrudisha kwa mama yake. Napeleka pesa za matumizi kama kawaida, baada yam waka mmoja mdogo wake wa kike alinitafuta na kuanza kunipa mkanda mzima sasa, kuwa yule jamaa ambae nilikuwa naongea nae alikuwa ndo mwanaume wake wa kwaza ambae kipindi sijakuwa nae jamaa alikuwa anatambulika nyumbani, na kipindi mimi nipo nae jamaa alikuwa ameenda kusoma urusi, maana alimuahidi akasome akirudi watakuja kufunga ndoa na jamaa now ni mwanajeshi, ndo yupo nae hadi hivi sasa, maana nilipo sikia maneno ayo niliumia sana maana alikuwa anajuwa alafu alinificha, kile kitendo kilinifanya nilale nae yule mdogo wake wa kike ili kulipiza kisasi. Aliniambia mpaka siku anakuja kwangu kumtoa bikra ilikuwa sio bikra bali aliniweka shabu sijui inaitwa, maana iyo mm sio mwanaume wake wa kwanza. Nilijitaidi na mimi kumumiza ili ajue na mimi nmelala na mdogo wake kama revenge, na niliweza wakagombana na mdogo wake.

Mwaka 2021 Nikaona naanza kunyimwa mtoto siku za weekend, na kuanza kuwekewa vizuizi vya kumuona mtoto maana wazazi wake wapo chanika now baada ya kustaafu kazi za serikari, na mwaka huu alipata kazi ya kuwa mwalimu ya shule ya msingi, ambayo ipo mkoani ambapo napajuwa mpaka shule anayo fundisha. Najitaidi sana kumbembeleza ili niwe karubu na mwanangu naona inakuwa ngumu sana. Baadae na mimi nilibalikiwa kupata mtoto mwengine wa kiume, nilimsahau kwa muda mfupi tena na machungu yakapungua ktk Maisha yangu.

Mwaka 2022 Huu mwaka nmepatwa na jinamizi la kumuota mwanangu wa kike wa kwanza kila ninapojitaidi kulala, nayeye bado ataki mm niweze kuwa karibu na mwanagu wa kike, maana now bado sijaowa ila naishi na msichana tu tumezaa mtoto mmoja, maana mara ya mwisho kuongea nae baada ya kugundua nina mtoto mwengine anasema atabadilisha jina la baba la mtoto aitwe jina la baba mwanajeshi. Naombeni ushauli wadau naweza kumpata mwanangu kwa kutumia sheria au nafanyaje.

Maana ndo mwanangu wa kwanza naumia sana damu yangu ikipotea bule bila sababu yoyote maana naona kila siku nazidi kupagwa na mwanangu wa kike naombeni ushauli maana mwanajeshi asije akapoteza Maisha yangu bule
Samahani
Ila huyo mtt pia sio wako!
Cha pili,acha kumfuatilia huyo mtt,hivi wanawake hutujui?
Piga kimya ,mpotezee uone km kweli ni wako atamleta mwenyewe!
 
Mm na yeye tushaachana, shida mm nataka kuwa karibu na mwanangu, Sina shida na yeye nataka mwanangu niwe karibu nae, Ili niishi nae maana mtoto now ana miaka 6 inaenda
Huenda huyo bint sio mwanao labda, ndiomaana anakunyima kumuona
 
Mkuu una roho ya uvumilivu sana na ustahimilivu kiasi kwamba napata na wasiwasi kuwa hata huyo mtoto wa kwanza ni wako kweli?

Yani kwa tabia alizoonesha huyo x wako ni dhahiri kuwa alikuwa anagongwa na jamaa yake kabla hata hujamuoa na kipindi ambacho mlikuwa mnaishi pamoja hadi kufikia akapewa HIV na mimba juu.

Mie baada ya kumkuta na HIV hio biashara ingekuwa imeisha hapo. Hakuna cha ndoa wala ukwaju. Ila kwakuwa unaimani mtoto wa kwanza ni wako komaa nae akifika 7 yrs unamchukua unamlea.
Asante Kwa maoni, Kwa kuhusu mtoto ni wakwangu maana kipindi naongea na wazazi wangu tulienda kupima DNA, maana baba alishauli tukapime Ili tujue kama Mtoto ni wangu. asilimia 100 ni wangu
 
1. Una uhakika gani huyo mtoto binti ni wa kwako? Maana naona umekomaa kishenzi kusema mwanangu hivi mwanangu vile wakati ushapigwa tukio za kutosha...

2. Uliwezaje kulala bila kinga na mkeo kutokana na hali yake, kiasi kwamba akakueleza ana ujauzito wa pili?

3. Umepima tena afya lini hivi karibuni? Naona umeandika una mahusiano mengine...
1. Mtoto ni wangu maana nilienda kupima DNA, pamoja na wazazi wangu bila ya yeye kujua mpaka Sasa

2. Kitu ambacho nimejifunza ni ata kama umelala na mtu alie Asilika na HIV, ukimuandaa uwezi pata ugonjwa maana mpaka upate msuguano mkavu sana ndo unaweza kuambukizwa. Na kama anatumia sawa ipasavyo pia ningumu sana kupata

3. Yah siwezi kuwa namusiano mpaka nipime, maana najitaidi sana kupima Kila Baada ya mwaka maana nshakuwa muoga sasa
 
Back
Top Bottom