Mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa kwa asilimia mia. Naombeni ushauri

Mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa kwa asilimia mia. Naombeni ushauri

Ushauri fungua akaunti ya jina lake kimya kimya muwekee akiba atakutanayo ukubwani hivyo sumu za Mama yake hazitafanya kazi
Account anayo nilisha mfungulia Toka yupo tumboni, naisi ipo pesa ya kumsomesha mpaka chuo na kujiajili mwenyewe, nilikuwa namuwekea laki 400k Kila mwezi mpaka Leo unajuwa itakuwa bei Gani🔥
 
Account anayo nilisha mfungulia Toka yupo tumboni, naisi ipo pesa ya kumsomesha mpaka chuo na kujiajili mwenyewe, nilikuwa namuwekea laki 400k Kila mwezi mpaka Leo unajuwa itakuwa bei Gani🔥
Sasa tatizo liko wapi wakati akikua atajua kwamba ulifanya jukumu lako
 
Sasa tatizo liko wapi wakati akikua atajua kwamba ulifanya jukumu lako
Shida sio pesa shida kuwa karibu na mwanao, nakosa Bondi ya kuwa karibu na mwanangu. Maana ata kipindi Cha nyuma naenda kuonana nae naona kabisa mtoto akiniona analia na kunikumbatia niondoke nae nisimuache,
 
Yawezekans pia sio mwanako.

Wewe unajipa stress tu Bure.

Hizo Hela wewe weka benki halafu Kaa kimya zitamsaidia huyo mtoto siku akija kukutafuta yeye mwenyewe (damu nzito kuliko maji)

Kwa sasa focus na huyo mwanako mwengine maadamu yule mwingine halali na njaa.

Mnajipaga stress sana.

Vitu vingine easy kuvisovu.
 
Nenda kwenye madawati ya jinsia, kaanzie huko.

Alaf mkuu, unasema mahusiano yake ya mwanzo alitendwa tendwa, how come uliamini alikuwa bikra mlivokutana?
Niliwekewa shabu ndugu, nilikuja kujuwa baadae
 
Back
Top Bottom