Mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa kwa asilimia mia. Naombeni ushauri

Mkuu una roho ya uvumilivu sana na ustahimilivu kiasi kwamba napata na wasiwasi kuwa hata huyo mtoto wa kwanza ni wako kweli?

Yani kwa tabia alizoonesha huyo x wako ni dhahiri kuwa alikuwa anagongwa na jamaa yake kabla hata hujamuoa na kipindi ambacho mlikuwa mnaishi pamoja hadi kufikia akapewa HIV na mimba juu.

Mie baada ya kumkuta na HIV hio biashara ingekuwa imeisha hapo. Hakuna cha ndoa wala ukwaju. Ila kwakuwa unaimani mtoto wa kwanza ni wako komaa nae akifika 7 yrs unamchukua unamlea.
 
1. Una uhakika gani huyo mtoto binti ni wa kwako? Maana naona umekomaa kishenzi kusema mwanangu hivi mwanangu vile wakati ushapigwa tukio za kutosha...

2. Uliwezaje kulala bila kinga na mkeo kutokana na hali yake, kiasi kwamba akakueleza ana ujauzito wa pili?

3. Umepima tena afya lini hivi karibuni? Naona umeandika una mahusiano mengine...
 
mwanaume unatia hiruma kama hvo we piga chini mtt akikua atamtafuta baba yake wwe huskii kila sku maredioni namtafuta baba namtfuta mama. mtu mwenyewe ashaungwa kwenye grid ya taifa ww unajisogeza karib yake au bado unamtaka maana ulijua ana ngoma na bado ukaendelea nae[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama hukutaka kuw mwanaume ungesema unachofanya ni kutuaibisha
 
Maswali mazuri sanaa, huyo mtoto huenda sio wake....na hapo kwenye afya akapime

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
1.Kwanza pole kwa kwa kuambukizwa HIV jitahidi kutumia dawa wewe jamaaa

2.mtoto sio wako huyo we jamaaa achana naye Kama ni wako siku mama yakimshinda atamleta mwenyewe

3.la mwisho na MUHIMU kabisa ebu nipe connection huko ndugu na mie nipige code hapo kwa wahindi au sehemu yeyote ni develop system,web app na phone application mkuu maisha magumu sana kitaaa
 
Ni mesoma andiko lako lote, ila na wasiwasi kama wewe ni mwanaume kamiri alijali, hapo sioni sabb ya kulia lia umefanyiwa hayo yote bado unaguvu za kumuona huyu demu eti kisa ana mtoto wako tena wakike!!!!! Achana na huo ujinga akitaka ata mleta mtoto kama hataki move on zaa wengine kwani mimba unabeba wewe?
 
Acha kuhangaika sana na kumtaka mtoto kadri unavyohangaika huyo mwanamke ndio anaona raha maana anakunyima mtoto ili kukutesa.

Akigundua haubabaiki mwenyewe ataanza kukusumbua kuhusu mtoto. Tulia
 
Ukishatambua hili kuwa wanawake ni chombo cha starehe tuu basi maishani umesha win
 
[emoji1787][emoji1787][emoji2960]eti ndoa wala ukwaju
 
Samahani
Ila huyo mtt pia sio wako!
Cha pili,acha kumfuatilia huyo mtt,hivi wanawake hutujui?
Piga kimya ,mpotezee uone km kweli ni wako atamleta mwenyewe!
 
Mm na yeye tushaachana, shida mm nataka kuwa karibu na mwanangu, Sina shida na yeye nataka mwanangu niwe karibu nae, Ili niishi nae maana mtoto now ana miaka 6 inaenda
Huenda huyo bint sio mwanao labda, ndiomaana anakunyima kumuona
 
Asante Kwa maoni, Kwa kuhusu mtoto ni wakwangu maana kipindi naongea na wazazi wangu tulienda kupima DNA, maana baba alishauli tukapime Ili tujue kama Mtoto ni wangu. asilimia 100 ni wangu
 

1. Mtoto ni wangu maana nilienda kupima DNA, pamoja na wazazi wangu bila ya yeye kujua mpaka Sasa

2. Kitu ambacho nimejifunza ni ata kama umelala na mtu alie Asilika na HIV, ukimuandaa uwezi pata ugonjwa maana mpaka upate msuguano mkavu sana ndo unaweza kuambukizwa. Na kama anatumia sawa ipasavyo pia ningumu sana kupata

3. Yah siwezi kuwa namusiano mpaka nipime, maana najitaidi sana kupima Kila Baada ya mwaka maana nshakuwa muoga sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…