Mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa kwa asilimia mia. Naombeni ushauri

Haya ndo madhara ya kupenda kuangalia movie za kifilipino na tamthiliya
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nadhani ukipenda ndo utajuwa umuhimu wa movies hizo. Nashukuru mungu tu nilijuwa mapema kuhusu mtoto maana
 
1. Asante bro, ila Sina maambukizi ya HIV

2. Nilipima DNA kaka mtoto ni wakwangu

3. Aina shida ndugu ntakutaftia, au ntaongea na HR, email yangu iyo bcoin535@gmail.com
 
Asante Kwa maoni, Kwa kuhusu mtoto ni wakwangu maana kipindi naongea na wazazi wangu tulienda kupima DNA, maana baba alishauli tukapime Ili tujue kama Mtoto ni wangu. asilimia 100 ni wangu
Hapo sawa km ulipima
 
Hongera
Upo vzr!
 
Mkuu chukua mtoto wa jiran nenda kapime DNA Uone Kama hawakuambii mtoto wako haaaaa🀣🀣🀣
Nadhani kulingana na hospital, mm nilienda private hospital na sio government hospital, baba kuna doctor kasoma nae ndo tulienda kwake direct,
 
Mimi sijalia naomba ushauli nijue jinsi gani ya kuweza kuwa karibu na mwanangu wa kike. Labda niende maakamani au nifanye hivi ilimradi nisivunje sheria
Je mpaka sasa hauna ukimwi? Kama ni yes bas mshikilie sana Mungu wako kwa kukuokoa kwenye jehanam hiyo. Achana nae mtoto akikua atakutafuta japo atakosa malezi au elimu uliyokuwa unatarajia
 
Nadhani shida sio kuwa lijali au mwanaume kamili, kitu nacho jitaidi Mimi ni kufanya familia yangu au watoto wangu wawe pamoja, mwanangu wa kike na wakiume. Waenjoy uwepo wangu katika maisha Yao, maana niliogopa sana Baada ya kusema anambadilisha jina angali mwanangu
 
Hiyo programme ya kulipia ni ipi ndugu?
 
Mtoto anaruhusiwa uchagua mzazi anayetaka kuishi naye endapo wazazi wametengana akiwa na miaka 7.
Ushauri, mpeleke mtoto shule za boarding uwe unamhudumia akiwa huko.Jitahidi kwenda kumtembelea kila visiting day na kumpelekea zawadi.Hii inakusaidia kutengeneza bond na huyu mtoto.Akishakua mkubwa level ya sekondari atakuwa ameishajielewa hivyo atakuwa na ukaribu na wewe maana tayari anajua wewe ndo baba yake.
 
Asante Kwa ushauli ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…