Mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa kwa asilimia mia. Naombeni ushauri

Pole sana, yaani huenda hata huyo mtoto si wako, subili miaka 7 utamchukua kisheria
 
Unauhakika huyo mtoto wa kwanza ni wakwako kweli? Kama huna uhakika tafuta namna ya kujua kama kweli ni wako.

Ukishajiridhisha tafuta namna ya kuhakikisha mtoto unammiliki Kwa kuongea na wazazi wake.Hii inaweza kuwa njia rahisi endapo ulishatoa mahari na kama ni Bado basi watakupiga fine.Ikishindikana pitia ustawi wa jamii wakusaidie.
 
Duuuh kweli hii dunia Ina watu wa kila aina ,na kwa ujasiri ulionao we mwamba hakika nimekunyoshea mikono aisee.

,Alafu akili yangu inaniambia huyo mwanamke unampenda Sana na hautakuja acha mpenda na yeye analifahamu Sana Hilo.

Bado nawaza uliwezaje kumwelewa mwanamke mwenye HIV na kuendelea kuishi nae?
Mimi Nina roho nyepesi Sana ,yaan kitendo cha kukuta no tu ambayo siielew kwenye simu ya mwanamke wangu Basi lazima tafran itokee na nikithibisha ni kweli analiwa huo unakua mwisho wetu.

Swala la mtoto km ni wako piga moyo konde we endelea kumtunzia mtoto akiba yake ataikuta akikua na ipo siku ataujua ukweli.
Ujue unavyopambana kumganda huyo mtoto Basi unampa kiburi huyo mwanamke ili aendelee kukuumiza maana ashajua udhaifu wako upo wapi.

Niamini Mimi ukikausha hata kwa miaka miwili bila kumfuatilia huyo mtoto huyo mama mtoto mwenyew atakutafuta na kuanza kulalamika kuwa upo mbali na mtoto wako.

Mwanamke akishajua udhaifu wako ulipo lazima akwendeshe Sana.

Mara nyingi wanawake wanapenda wanaume wenye misimamo yaan mwanaume ambae huelewek km unajari au hujari.
Usiruhusu mwanamke aujue udhaifu wako.
 
Nenda ustawi wae jamii ,peleka shida yako huko kuhusu mtoto na tatizo lako litakwisha..
 
Nenda anakoishi chukua mtoto ondoka naye akizingua mzibue makofi mkuu..unashindwaje na mwanamke lakini??yaani damu yako kabisa afu anakukatalia kweli!!???
 
Asante ndugu nmekuelewa kwa ushauli wako Wacha kesho nianze kutafuta
Me naomba nijifunze kitu kutoka kwako,
Unawezaje kusex na mwanamke mwenye HIV na asikuambukize ili hali kila siku wanatoa tahadhari, nahitaji kujuwa hiyo siri,

Swali lingine ninalojiuliza bikra ya kweli na bikra ya kutengeneza huwa vinatofautiana kivi mpaka hapa sielewi,
ukinijibu utakuwa umenisaidia sana tunitoa ujinga
 
Mwisho wa maisha ni kifo,ukifanya kusalitiwa ndo kue mwisho ni tatizo.

Achana nae fanya maisha mengine
 
Ongea na wazazi wako ili wakusaidie kupata mtoto wako. Ikibidi wazazi wote wa pande zote mbili washirikishwe ikibidi.

Sheria zipo ila anza na familia kwanza.
 
Pole hata huyo yawezekana siyo mwanao

Jiridhishe kwanza kama ni mwanao kweli

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu chukua mtoto wa jiran nenda kapime DNA Uone Kama hawakuambii mtoto wako haaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Interesting [emoji3166] [emoji28][emoji1787]

Hii kitu kama ni kweli ni vema wakaacha mara moja hao jamaa wapimaji wa mkemia Mkuu .

Mbona wenzetu nchi nyingine wanatoa majibu ya ukweli ?

Je hawa hawajui ku observe integrity?

Je hawana code of ethics?

Bongo Kwanini mambo mengi yanafanyika kienyeji?

Afadhali mtu au watu wajitokeze kwenda kupima na watoto wa jirani zao au watu baki halafu wapate sababu ya kuwashitaji hao ofisi ya mkemia ili yamkini wabadilike katika kutoa majibu sahihi.

Au unapima bongo kisha unaenda kupima nchi jirani yakitofautiana unapata base ya kuwashitaki na ku draw attention kwenye nchi ya TZ ili waone aibu waanze kutoa majibu ya ukweli.
 
Kwani mtoto ni huyo huyo? Wanawake wameisha mtaani? Mama yake hataki nini sasa ukomae nae?
 
Account anayo nilisha mfungulia Toka yupo tumboni, naisi ipo pesa ya kumsomesha mpaka chuo na kujiajili mwenyewe, nilikuwa namuwekea laki 400k Kila mwezi mpaka Leo unajuwa itakuwa bei Gani🔥
Dah hapa ingekuwa mimi naenda kuitoa yote hahahah
 
Account anayo nilisha mfungulia Toka yupo tumboni, naisi ipo pesa ya kumsomesha mpaka chuo na kujiajili mwenyewe, nilikuwa namuwekea laki 400k Kila mwezi mpaka Leo unajuwa itakuwa bei Gani🔥
Hakuna bank haapa tz inayokubali kuopen ac mtoto akiwa tumbona..nasema hakuna
 
Account anayo nilisha mfungulia Toka yupo tumboni, naisi ipo pesa ya kumsomesha mpaka chuo na kujiajili mwenyewe, nilikuwa namuwekea laki 400k Kila mwezi mpaka Leo unajuwa itakuwa bei Gani🔥
Wewe unaleta mzaha hapa kumbe? Mtu mwenye mshahara wa 1.2 anawezaje kutunza 400k katika nchi hii? Ajabu sana
 
DIT hamna computer science
 
Upo sahihi kabisa. Nakupongeza kuwa baba mwema. Nenda ustawi wa jamii haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…